jack pemba na bosi wake hawakuishia viwanjani tu, hata mitaani walipita kukutana na wadau...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kama wanataka kutafuta vipaji wawachukue bure sio kutaka ujaze credit card uwalipe wakutafutie sehemu

    ReplyDelete
  2. Huyo wa kwanza kulia sio Macha wa migo migo? Maana yake kuna tetesi kuwa ni marehemu muda mrefu? samahani sana kama sio taarifa za ukweli.

    ReplyDelete
  3. Hawa jamaa mimi nawakumbuka sana lakini majina. Kuna mtu anawajua hawa?

    ReplyDelete
  4. huyo jamaa mwingine kama ndama?

    ReplyDelete
  5. Macha Nderimo(1st left) Hujambo???

    ReplyDelete
  6. jamani macha naye kachoka,kweli bongo hapafai,kitambi utafikiri mgonjwa sijui hata kama gym anaenda.Maskini mshaurini jamani hilo tumbo si mali anafuga ugonjwa.

    ReplyDelete
  7. jamani Macha Nderimo habari za siku nyingi? Martha (dada) mzima nae? Vipi bado mpo Magomeni pale Mikumi? Duhh jamaa long time sijamtia machoni. Ila kitambi upunguze wangu shell na bp zitakunyemelea muda si mrefu.

    ReplyDelete
  8. Ndama Don Dada, wa pili kutoka kushoto waingize na kuwaonyesha mjini hao.....hata huyu mtoto wa faya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...