wadau maulidi baraka wa kitenge kanituma niseme anafarijika sana kwa maoni yenu yote, na anayathamini kila moja kwa uzito wake. hapa yupo na mkewe mpya rehema (shoto) na mke mkubwa eshe siku ya ndoa yake na mke mdogo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 52 mpaka sasa

  1. kitenge nakuaminia kidume,,hahaha,,imekaa njema tu if you know wat ur doing,,,

    ReplyDelete
  2. Msikondeshwe na maoni wa wana blogu. Huu ni wakati wa uwazi na ukweli. Hivyo mmefanya jambo la heshima kukubali michango ya maoni yanayowaunga/kuwapinga katika fikra zao kuhusu maisha yenu mlioamua. Nawatakieni KHERI na FURAHA katika maisha yenu.

    ReplyDelete
  3. I AM SO MAD..... BUT HAPPY FOR THEM...KAMA MKE MKUBWA KWELI YUPO HAPPY KUTOKA ROHONI MWAKE NA KWELI ALIKUBALI KWA MOYO WAKE WOTE...IT IS OKAY BUT I DOUBT AND I WONDER WHAT IS IN HER MIND.....

    WANAUME WA BONGO WANASEMAGA AHH HAZAI. KAMA MWANAMKE HAZAI....WHAT IS A BIG DEAL ABOUT IT...? WATOTO WANGAPI WAKO OPHANS WANAHITAJI MTU WA KUMUITA BABA NA MAMA KILA SIKU LAKINI HAWAPATI?.....

    COULDN'T U ADOPT IF THE ONLY THING WOULD MAKE YOU HAPPY OR MISSING ON YOUR FIRST MARRIAGE WAS A BABY???

    KWA HIYO MKE HUYU MDOGO ANAJUA FIKA YEYE KUOLEWA KWAKE NI KUWA BABY FARM?... ONLY...? NA YEYE ASIPOZAA ITAKUAJE? MWINGINE TENA?....OUCH!!

    Nchi hizi tulizo kuna mambo mengi kweli naona culture zao sio nzuri lakini pia kuna mambo mengi sana ya utamaduni TZ pia sio nzuri kabisa...NARUDI BONGO...... NATAKA KUWA WAZIRI WA WANAWAKE NA USTAWI WA JAMII Niwafungue macho wanawake wenzangu..

    Wanawake TZ bado tunaonekana kama second class citizen bado....My late grandma alikua anasema babu alikua mkorofi sana alikua anampiga kila mara. Bibi alisema babu kimwili chake kilikua kidogo sana kuliko yeye lakini hakunyanyua mkono hata siku moja kumpiga back au kujitetetea..babu alioa mke mwingine....hamna hata kusema kitu...she just pretended to be happy... I was like what....those days....thanks God sikuzaliwa those days....kumbe no nooo oo this culture still going on .....mhhh....

    Na mimi nikiolewa na wanaume wawili itakuaje?

    We are all human beings. We all have feelings...Turn the plate back on you and see how it feels like to share your women with someone else. It is the same way we feel and I am sure your women feel the same way too. They might pretend they are happy but deep in their heart they are not.....HONESTY ......otherwise if they are happy ...real it is not romantic love ...it is just the love either for your populatity or your money.

    ReplyDelete
  4. Kitenge ni mwanaume wa shoka. Maana hata mtume Muhamad alioa zaidi ya waanne. Na mtume ndiye mfano wa kuigwa. Ukiweza ongeza mwingine ni heri tu.

    ReplyDelete
  5. Aibu tupu!

    ReplyDelete
  6. Naomba niseme kwamba, wote mnaomwandama ndugu Baraka, nadhani mnakosea kidogo. Jamani swala la maisha au ndoa ni SWALA BINAFSI. As long huyu bwana haombi msaada kwa yeyote katika sisi wachangiaji au kwa jamii yetu ambao watakwazika kwa namna moja au nyingine...Kila mtu ana uhuru wa kujiamlia afanye nini ilmradi ni kwa manufaa yake na wapendwa wake. Kila mmoja wetu ana matatizo yake na ni kweli swala la Kitenge kila mtu analiona kwa mtazamo tofauti. Ukianzia na sababu za kiuchumi, kijamii na kisiasa... nk. Ila naamini kabla ya kuchukua huu uamuzi alifikiria kwa kina na AKAONA KWAMBA HUU NDO UAMUZI SAHIHI. "you may disagree with what he has done, but please respect his right to do it" Ndo democrasia yenyewe jamani. MIMI sijaoa na sidhani kwamba ni halali kumattack huyu bwana kiasi hiki. Kila mtu ataubeba msalaba wake. Kitenge much as I may have reservation for what you did, But I congratulate you for your decision and I wish you all the best in your endeavours.

    Wako katika ujenzi wa taifa,

    Mwananchi

    ReplyDelete
  7. naona wake zake wote kila mmoja anaangalia upande wa kwake, sidhani kama kuna heri hapo. Kitenge ana uhakika hao wamama wanapendana kikweli kweli? naona hapo kila mke ana lake moyoni mwake. Kila la Heri Kaka, ndoa zako zote zidumu na usije ukawa ulimlazimisha mke mkubwa umuolea bi mdogo pasipo sababu ya msingi. Kwa hiyo hapo sheikh wangu una uhakika wa kula mapishi tofauti, angalia usije ukanogewa ukaongeza mke wa tatu, naona kasi yako haina tofauti sana ya King Mswati!

    ReplyDelete
  8. Hiyo haijatulia kabisa haijakaa vizuri,we mtoto mdogo sana unakimbilia mambo ya wakubwa.

    ReplyDelete
  9. haijatulia hiyo sisi wanawake hatupendi ku share mwananume kaka mimi ningedai talaka nikaanza kivyangu tena kama hana watoto ndio good to go

    ReplyDelete
  10. "But the Jews will not be pleased with thee, neither the Christians, until thou follow their religion; say, The direction of Allah is the true direction. And verily if thou follow their desires, after the knowledge which hath been given thee, thou shalt find no patron or protector against Allah." (Qur'an, Surat Baqarah:120). Kaka Kitenge fuata moyo wako na mfuate Mungu wako achana na maneno ya walimwengu.Kama ungeamua kua na kimada nje hakuna ambae angekupinga hapa kwasababu ni mila yao ila kwasababu umefanya kitu cha kiislamu basi kwao ni kero kwao na "hawatokuridhia hadi umefuata mila zao".Mwenyezi Mungu alieruhusu hata manabii kuoa mke zaidi ya mmoja hakuwa kutengua option hiyo na hakuna hata nabii alietengua,ingawa watamsingizia nabii wa pili toka mwisho ila yeye hakuja kutengua maandiko ila kuyatimiliza. Dini yako inakuruhusu basi wewe songa na maisha yako.Hivi UKIMWI unaupata kwa kuwa na wake wawili au kutokuwa na uaminifu ktk ndoa? Nchi za uarabuni wanaoa wake wengi wengi ila hakuna UKIMWI kama Afrika, Ulaya na Marekani.Maulid nakupongeza kwa kuoa kwa ridhaa ya mke mkubwa kama dini yako inavyokuambia tofauti na waislamu-wanaume wengine wanavyofanya;BIG UP.DUMISHA UMOJA KTK NDOA ZAKO NA MKIFARAKANA MTAWAPA HAWA VISHANKUNAKU KITU CHA KUONGEA,NA HUENDA THEY ARE BEHIND YOU NOW,WATCH YOUR STEPS WITH EXTRA-CAREFULNESS.MAY GOD BLESS YOU AND YOUR WIVES AND CHILDREN AND DEFEAT ALL YOUR ENEMIES...AMEEN!

    ReplyDelete
  11. eeh jamania kweli duniani kuna mambo so u guyz are ready to share that something which lays btn his two legz,,,,u have to think twice what comes after that kitendo then he got to move from one to another how do you feel,,nway kaka angu ujue huo ndio mwanzo wa kirusi coz either u or one of ur wifes may be a cheater then what comes next,,,,

    ReplyDelete
  12. kijana jua hata kufunua huo ufimbo or muwa wako kwa kila mwanamke ni kujidhalilisha hata kama unajiona u kidume wa kukaza madem kumi but ustaarabu ni kuuhifadhi huo ukitu wako sio fani kuuonesha kwa kila mtu,,,,loo aibu

    ReplyDelete
  13. Da huyu mheshimiwa bwana, mi sikubaliani naye kabisaaa na huu uamuzi, maana hii hali ya sasa ya maisha, ndio unakuwa na wake wawili???. Mmmmh!!!!!!! sisi wengine nadhani ni wakati wakujifunza kwa kile ambacho mi nakiita maamuzi yasiyo makini ya kitenge, kwahio tujirekebishe tusiendelee kumlaumu,ndio imeshatokea hio.Kama ni swala la mtoto, mi nadhani angeweza kusubiri huwezi jua mungu angekuja mjalia eshi kuzaa. Au hata kuzaa kwa kutumia maabara angeweza fanya, wengine wanaamua ku adopt watoto.Wengine hasa huku Eorope mke mmoja anawashinda wewe unaongeza mke wa pili????Mchango wangu kwako kwasasa ni kukuombea ndoa hizo zidumu, maana nasisitiza hatuwezi badili, yameshatokea, iwe fundisho kwasisi vijana wengine hasa wakiume sisi.

    ReplyDelete
  14. acheni kutuzingua bwana.

    Huyo mmoja mweupe ni mke wa michuzi, na alisimamia harusi ya Kitenge. Ila huyo black ndio mke wa kitenge.

    Acheni kutudanganya.Dar ndogo hii.

    Hahahahahahahahahahahahahahahhahaha

    Naona mmewachota watu kweli kweli, Hongera

    ReplyDelete
  15. Ama kweli ukistaajabu ya Mussa!!Kitenge ni POLYGAMIST!!?Kila la heri mzee.

    ReplyDelete
  16. Michuzi wengi wape,hoja ya mke zaidi ya mmoja haikubariki,acha waendelee na maisha yao tuendelee na picture nyingine

    ReplyDelete
  17. ahaha we Michuzi hacha hizo eti anafarijika kwa maneno yetu ahaha! anafarijika au anauzunika maana wengi TUMEPAKA kwa saaana....lakini ndo ukweli wenyewe hata akikasirika sisi twasema tu wana-tanga

    ReplyDelete
  18. Kumbe kuna watu bado wana utwaa u-polygamy. Na hao mada wanaona tu sawa kuchangia wanaume. Jamani inabidi tubadilike na kuelimika akina dada huu ni ulimwengu mpya. How can you share LOVE? Mimi siwezi jamani, tumetofautiana lakini

    ReplyDelete
  19. Kumbe inawezekana. Wake wawili waziwazi. Wote nyumba kubwa. Hakuna cha nyumba ndogo. Tena wake hao wakapatana. Kitenge, sina la kusema.

    ReplyDelete
  20. hivi bado ndoa za wake wawili+ zipo ? hongera man, i wish I was You, mimi mmoja tu anataka kunishinda.

    ReplyDelete
  21. Maulid wa Kitenge kwa vizee.... uliambiwa hiyo ni suna? pole

    ReplyDelete
  22. Duh! Kitenge, mshikaji rijari sana wewe! Ni poa umeweka wazi, ila mambo ya kuoa wake wengi ni yakizamani, kwenye post modern world kusema ukweli ni noma....na tena kidudu-mtu anavyotafuna afrika na tena Tanzania ni noma....uwe unacheki ngoma mara kwa mara! All the best kwenye kudumisha mitaala yako!

    ReplyDelete
  23. Kaka Michuzi, wewe ni professional photographer. Sasa ni picha gani hii jamani. Be fair. Yaani hii picha inatoa tafsiri tofauti ambazo si nzuri kabisa. kwanza, wote watatu wanaonekana wana mashaka hata ukiwaangalia nyuso zao. Pili, huyo bi mkubwa anaonekana bayana kuwa hapa sasa hajaridhia kwa dhati hii ndoa. Ni kama vile Ah, haya, nifanyaje sasa. Huyo bi mdogo naye hapa sasa anaonekana kama amelazimishwa, Kana kwamba ni mwanakondoo anayepelekwa kichakani kuchinjwa.Tatu, Kitenge mwenyewe anaonekana kama amepigwa na butwaa. Kwa kifupi bwana hii picha hukuwatendea haki kuiweka kwenye blog. Nadhani uliwapiga nyingi wakiwa wote watatu, jaribu kufanya replacement. Bila shaka unajua kuwa tunatoa maoni yetu kutokana na picha jinsi ilivyo, na si jinsi hali ilivyo au ilivyokuwa. Wengi wetu hatukuwepo hapo.

    Pili, jamani, mimi binafsi nina wivu sana. Kwa kweli tangu nione hizi habari za hii ndoa, nimeshindwa hata kusema lolote. Si kama sina observations, lakini sijui niseme nini hasa. Nimejaribu kujiweka kwenye nafasi ya bi mkubwa, nikajiona kama vile napata uchizi. Nimekaa pia kwenye nafasi ya bi mdogo, nikaona kuwa kana kwamba najipunja na kuwa ni mtu ambaye ninaleta utata katika swala zima la mpenzi na kumdhulumu huyo mke niliyemkuta. Mume anauma jamani! Nikifikiria kanizalisha and all that. The same kwa huyo mume wao, nimechukua nafasi yake, nikajikuta kama ninachanganyikiwa, wake wawili si mchezo jamani, kiuchumi, kijamii and all that. Hata kisiasa, maana hata sera za watu watatu nyumba moja haziwezi kuwa sawa kabisa. Anyway, ni mixed feelings ambazo zina hisia tofauti tofauti nyingi sana. Mimi kwa upande wangu, ningepenga nikimtaka mume wangu, nimpate hasaaa! bila ya oh, sijui yuko kwa bi mdogo au mkubwa au mkubwa. Hamu haiairishwi jamani. Sidhani kama nina kiu basi mtu aniambie eti kunywa maji kesho, jamani si nitakufa! Ninataka nikate kiu pale ninapojisikia kwa raha zangu. Sijui jamani, lakini tunatofautiana. Kuna vitu vya kushare na vingine hapana. Kwa wale wanaosema kuwa kuna watu wenye vimada na mabuzi, sawa, lakini hii ni tofauti jamani. Bora kudanganywa kuliko kuletewa!.Yale yale, Bi Shakila aliyoyasema moyo unalia, macho yanacheka.

    Mwisho, naomba mheshimu mawazo yangu jamani. Mimi ninaona hii hali ni kama isidingo fulani hivi. I mean mchezo wa kuigiza. Hata hivyo, napenda kuwapa hongera zao nyingi na kuwaambia kuwa wawe na moyo wa kuweza kuvumiliana. Haya mambo ni serious. Wazee wetu wa zamani waliweza na walikuwa wakijiinamia tu wakiletewa wake wenza, sababu hawakuwa na uwezo wa kusema nini wala nini. Siku hizi mambo ni tofauti, tubadilike jamani. All the best to the new Kitenge family.!!!!!!!

    ReplyDelete
  24. JAMAA LAZIMA ATAKUWA MGONJWA WA "THREE-SOME." UNAJUA TENA WATU WA PWANI WANAVYO-MIND GAME HILO...
    KAMA ANAWEZA KUWATUNZA NA KUWAKATA KIU SIDHANI KAMA KIMSINGI HII NI HOJA YA MJADALA, KUNA ISSUES ZA MAANA MICHUZI, ZILETE.

    ReplyDelete
  25. All is fake! Michuzi mchokozi anataka sikia mtasemaje hasa kina dada kuhusu hiyo ndoa. Kwanini mtu asifanye private life yake kimya kimya?!

    Basi nami nitakutumia picha ya ma classmate wangu wa miaka 70s tutafutane. Unasemaje Issa.

    ReplyDelete
  26. Mijitu inavyo vifanya kushangazwa na hii arusi utafikiri hii ndio mara yao ya kwanza kusikia mambo ya ukewenza. Kama huyu kijana kaamua kuoa mke wa pili ni juu yake. Na hao wakewenza sizani kama kuna mtu kawalazimisha kuwa wakewenza ni hiyari yao wenyewe. Kinacho endelea chumbani mwao hiyo ni mambo yao binafsi.

    ReplyDelete
  27. hivi nyie aliyesema kuwa mke mkubwa hazai nani? mbona ana mtoto mmoja alizaa kable ya kuolewa na Kitenge na nafahamika na watu wote including mume mwenyewe?! the fact that hajazaa na Kitengo it does not mean hana kizazi, inawezekana damu zao hazijapatana au pia mume ndiye mwenye matatizo. wanawake wa kiafrika watatupiwa mizigo hiyo ya lawama mpaka lini?!!! amkeni jamani!!

    ReplyDelete
  28. Sasa nyie mnashangaa nini! Mwanamuziki wa Senegal AKON naye pamoja na kuishi marekani karibia miaka yake yote, ana wake kama wanne. Sasa msishangae you all know "Islam is the way of life". Mnataka Kitenge awe anatia nje kama waume na wake zenu wanavyofanya. This is the best way to be true to your wife, kila siku tunaona jinsi wanaume cheating on their wives and vice versa. What's the point of being married?, if you cant even keep Mr DICKson and the PUSSYcat Dolls where they are supposed to be. I know these days marriage has turned into a PUBLICITY STUNT lakini why do you have to cheat on your wife or husband?

    ReplyDelete
  29. mhhh mambo ya kizamaniii wamepima UKIMWI HAO??? hii hali waistopishe kabisa mambo ta dini lakini ni njia mojawapo inayowateketeza watz kwa magonjwa WANAWAKE AMKENI JAMANI LOL naona shida zinawapeleka kubaya mhhh

    ReplyDelete
  30. Labda wake za huyu kaka ni lesbians au homesexuals wanaweza kufanya mapezi wote watatu kwa wakati mmoja..just cant believe uchafu huu

    ReplyDelete
  31. maulidi mapaka sura imechakaa kwa shuguli za kuoa na kuwatimizia haja

    ReplyDelete
  32. Kamua baba....usitumie transister (Hirizi)!

    ReplyDelete
  33. kamua baba....usitumie transister (Hirizi)!

    ReplyDelete
  34. michuzi shukran sana kwa kutuletea pia hizi za kitenge na kutaka comment zetu na ninawatakia kila la kheri na barka tele na ALLAH awe pamoja nao daima katika maisha yao.
    Chamsingi nikwamba hawajalizimishwa ni ridha yao na kama wamelazimishwa basi ALLAH akujaliyeni moyo wa subra pia amen. Uislamu daima na katu hamzalilishi mwanamke msikikiye nyinyi msiyo waislamu ni desturi na mila na utamaduni wa muhusikia ndo utakao mzalilisha mwanamke lakini si dini ya kiislamu, kitenge si mtoto mdogo anafahamu fika majukumu ya kulea wake zake na hajamuomba mtu msaada kwa hivyodomo kaya lote la nini, mnaona jinsi uislamu ulivyo unique, na ukimwi unapata au mtapata wakati ambao una cheat mkeo au mumewe na ufirauni wenu mwinginewe mnaufanya mlio zugwa akili na wazungu na utamaduni wa kizungu ukituliza ball na kula nyumba mbili na moyo wako ukiwa katika dini yako daima sidhani utaupata wacheni hizo ngojeni kitenge ajekukuombeni pesa za kutunza wake zake ndo muaze kuropopa ovyoo, kila mtu akili kichwani na walio kweli vidume ndo huwa wanafanya mambo kama afanyavyo kitenge wengi wanaume ni wasenge senge tu ndoa mmoja tu zinawashindwa ndo maana wanamlaumu kitenge na wengi wao wanamuonea gere na wanawake wenginewe kujitia kuwaonea huru kumbe wanatamani katika ndoa yao wangempata mtu aliye mkweli na muazi kama kitenge wengi waume zenu ni mafirauni wangono kila kigaguro kikipita mtaani huwa wanashimamisha na kutaka kuchomekea na wakipata nafasi basi wanafanya hivyo kutahamaki wanakuleteeni ukimwi nyumbani angaliyeni movie ya tusamehe maana ya ndoa nini has eeeh!! si bora ya kitenge kuliko ya ufirauni mnaojidai ya kuwa na mume mmoja, ukitaka usitake maisha ya kileo hata huyu mume mmoja huwa si muaminifu labda awe msenge au uwe umetia kufuli..

    acheni hizo may ALLAH bless you so much kitenge with you family, na bi eshe mungu akupe subra na moyo dhabit daima na inshallah akujaliye pepo amen na pia bi mdogo kwakukubali kuwa wa pili kila la kheri na barka tele,
    wote msiyopenda jambo hili jiulizeni je are you truly satisfied with the life you are living na mabwana zenu je wanakupendeni hasa na kukujalini hasaa fikiriyeni na midume je mnawapenda kweli wakezenu mlio kwenye ndoa ya mke mmoja kweli hamna vimada nje wacheni hizo jamani eeeh mpeni mwezenu heko na ongera and MAY ALLAH BLESS YOU FAMILY KITENGE AMEN

    ReplyDelete
  35. Jamani Jamaa asishambuliwe kwani amefanya kitendo cha maana kuoa kuliko kama angehusiana kimapenzi na mke wa pili nje ya ndoa yake.
    Kosa ni nini hasa hata ashambuliwe. Kinachooneka hapa ni kuwa mke wa kwanza ameridhia. Shida ya ninyi wengine mnaomlaumu jamaa ni nini kama si wivu tu?

    Tusisahau kuwa baadhi ya walalamikaji mmetoka katika falia ambazo ukiangalia zina harufu ya mitala.
    Cha kufanya sasa kwa ndugu yetu badala ya kumshambulia ni kumpongeza na kumwombea kuwa atulie katika ndoa yake na kwamba wake zake waendelee kuhusiana vizuri na kuishi kwa amani.

    Naomba kutoa hoja.

    ReplyDelete
  36. Maulidi wa Kitenge wewe endelea kukamua achana na maneno ya watu. Watu wamepewa midomo wacha wachone wewe majeshi mbele, baaa!! Na ukipata watatu tujulishe kwa kupitia blogu hiii

    ReplyDelete
  37. Dume la Kiafrika ni mithili ya wildebeest (gnu) bull. Lakusanya majike!

    ReplyDelete
  38. Kitenge lazima atatafuta na wa tatu na wa nne kama dini yake inavyomruhusu.Kwanini nasema hivyo?Jiulize swali moja alianza vipi kumuona huyo wa pili?Unataka kuniambia kwamba jamaa kaoa bila hata kuonja kwanza?Haiwezekani.Kwa maana hiyo haya yote ni ubatili na uhuni.

    ReplyDelete
  39. WOTE TUMEMSHUPALIA KITENGE...KUHUSU HILI JAMBO LAKINI TATIZO SIO LAKE TATIZO NI HUYO BIBI WA PILI KUKUBALI KUOLEWA WAKATI ANAJUA KUNA MKE MWINGINE SIO KUWA ALIWEKEWA BUNDUKI SHINGONI....AMEPENDA MWENYEWE.....

    NA MNAOSEMA WANAUME WANGAPI WANA NYUMBA NDOGO...HATA HUYU ALIVYOANZA KUM DATE HUYU BIBIE SI ILIKUA KIMYA KIMYA MPAKA SASA HIVI AMEAMUA KUHALALISHA. WAKUONEWA HURUMA NI BIBI MKUBWA....POLE SANA...

    LAKINI DINI YAO INARUHUSU....

    WANAWAKE TUNGETAKIWA TUWE STRONG STRONG ZAIDI....

    NDIO WATU WALITAKIWA KUMPA HONGERA TUU LAKINI PIA HAPA NIKUJARIBU KUPEANA MAWAZO ILI WALE WANAOTAKA KUJARIBU HII KITU WAWE WANAJUA UKWELI NA KWA WALE WAKINA DADA WANAOENDELEZA KUKUBALI KUWA NYUMBA NDOGO NI HERI WAJUE NINI WANACHO KIPATA.


    kAMA WAO WAKO HAPPY HONGERA ZAO NA MWENYENZI MUNGU AWAJALIE WAPENDANE WOTE MIAKA NA MIAKA TELE

    ReplyDelete
  40. Sijawahi ona watu wanafiki na waswahili kama wa Tanga mjini. Fitina kwa wingi, think they know everything, all blah blah blah bullshit. Na wanawake zao ndio malaya kupita kiasi, wote kwenye ndoa zao lazima watatembea nje tu, malaya sana.

    ReplyDelete
  41. Hongera sana mdogo wangu Kitenge, yaani mimi nina ndoto ya kuoa wanne kwa wakati mmoja, siku moja na suti nikiwa nimevaa moja. Tatizo jamii... sijui itanikubali? au itanilaani? hao wanawake wote wanne sijui ntawapata wapi? na je dini yangu hii ya kikoloni nayo haitaki.

    pia uchumi nao unagomba mno, ukizingatia dada zetu wa kiafrica ni dependent, wanafundishwa tangu wakiwa wadogo kwamba mume ndio atakupa kila kitu. sasa nikija kuoa hao wanne sijui ntawezaje kuwatunza.

    pia ningependa niwaruhusu wake zangu waolewe na wanaume wengine pia, ila jamii inayonizunguka watasema meengi mno. basi nashindwa hata kuamua.

    ila we nimekupa heshima yako kwa maamuzi yako... MUNGU AILINDE NDOA YAKO YA WAKE WAWILI.(DUAL MARRIAGE)

    ReplyDelete
  42. KITENGE EH NA MIMI SIJAOLEWA HUKU,NINAMIAKA HAMSINI SASA NI MFANYA BIASHARA MAHARUFU NJOO BASI UNIOE NAMI PLEASE!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  43. anony wa friday 11:02;57pm hatukuelewi kulikoni wanafiki na waswahili watu wa tanga mjini, hebu fafanua.

    ReplyDelete
  44. Kitenge will you Marry me?
    Tanzania inasemekana kuwa na wanawake wengi k uliko wanaume! Kitenge kamua baba... wakipatikana kumi kama wewe idadi ya wanaume na wanawake ita balance Tz.

    ReplyDelete
  45. Mzee umechemsha,sijui haswa lengo lako nini,kwa karne hii kuoa wake wawili?mzee unataka kutuwekea mitego tu.....tuanze kuwadandia wake zako tuonane wabaya baadae,mi mademu wa kibongo nawajua,huwezi kuwaridhisha wote,leo umelala kwa mkubwa siye tunaselebuka na mdogo shauri yako,mambo ya kizamani hayo dogo.

    ReplyDelete
  46. Siri ya mtungi, labda Bi Mkubwa ndo alimshawishi mumewe apate usaidizi, maana ndani ya nyumba kuna mengi yakhe, Ligwaride ikiwa ni mojawapo!

    ReplyDelete
  47. TANGAZO PLIZZZZZZZZZZZZ!!!!!!!

    Maulidi Baraka wa Kitenge, anatangaza nafasi ya kuoa mke wa tatu. Tafadhalini tumeni CVs zenu kwa anuani ya Radio One.
    Wasifu ni kama ifuatavyo!!
    1. Awe amemzidi kwa Umri
    2. Awe na mwanya
    3. awe amepanda kwenda hewani
    4. Mnene wa kutosha,na kumbeba kitenge
    5. Jamani Nyuma awe amejazia na
    Maombi yafike kabla ya 15th March 2007.

    Anataka kuvunja rekodi. Ili aingie kwenye Guiness book!!

    Nilikua namsikiaga maulidi wa kitenge kwa Radio, nikadhani ni civilized man,na ni mwana harakati, kumbe mwenzetu badooooooooooooooo!!!!!!!!! ni ngumu sana kwa maendeleo ya millenium hii kupatikana, Poverty bado ipo kwa sana tu.

    Maana kama mwana habari, ambaye tunategemea angeielimisha jamii kuhusu effects za poligamist anaweza kufanya hivi, sasa jamani wale wasioelewa watafanya nini.

    Bwana kwa wale wanaosema, oohh babu zetu, sijui nini, acheni uzushi bwana. msituzingue kabisaaaaaa, ilikuwa hao babu zetu, kwa nyakati zile.

    1. Hata waislamu wenyewe siku hizi washaona kuoa mke wa pili sio ishu. maana sharia ya kiislamu ya kuoa mke zaidi ya mmoja, ni kwamba lazima uwe na uwezo wa kuwalisha na kuwatunza kimwili na chakula na mengineyo yoye, na kama huwezi si vema kuoa. wawe sawa
    2. Hivi jamani, hao wanawake wote wawili atawalisha nini tena.
    3. je wamepima?
    4. je swala la ku maintain uaminifu baina yao watatu litakuwepo?
    5. Msizani ule uaminifu waliokuwa nao babu zetu upo hadi leo.
    5. Infact wote hawawezi kuwa waaminifu, mmoja lazima atacheza nje, huo ndio ukweli wa mambo, kubali msikubali,maana kumridhisha mwanamke kimwili napo sio mchezo ati hiyo ndio fact.
    6. kwa Mshahara upi jamani, maisha yalivyomagumu hapa bongo? au kapata BBC nini? au anauza madawa ya kulevya huyu?
    7. LIFE RISK

    All in all, tunashukuru, bongo tunaheshimu uhuru wa mtu na maamuzi yake as long as huvunji sheria za nchi.

    Ila mshkaji, kazi kwako kila la kheri.

    ONGEZA NA WA 3 TUKUSAIDIE KUCHEKA!

    ReplyDelete
  48. wabongo mfuko ukituna mawazo huwa yanakuwa kama alivyofanya kitenge.

    Mzee bado wanaendelea kuzaliwa wewe weka nguvu ya kurusha jicho mzee.

    ReplyDelete
  49. Kwa wale wenye kulilia usawa wa jinsia (gender equality), itawabidi kufanya mapinduzi ya kilingwistiki:

    Mwanaume ni Mtendaji:
    1. Mwanaume anaoa!
    2. Mwanaume ana...a!
    3. Mwanaume = active voice!
    4. Mwanaume = independent variable!

    Mwanamke ni Mtendewa:

    1. Mwanamke anaolewa!
    2. Mwanamke anato...wa!
    3. Mwanamke = passive voice!
    4. Mwanamke = dependent variable!

    ReplyDelete
  50. anony wa jan 28, 2007 12:15:00 AM ni bingwa wa pumba za kila nafaka.What is civilization to you? Kwa Kiswahili ni "ustaARABU", yaani kuwa au kufanya kama waarabu au kiarabu(katazame nenp "ista'arab" ktk lugha ya kiarabu ambako tumelikopi) na kwa msingi huo Kitenge kastaarabika.Hakuna hata hoja ya msingi umeitoa.Eti "hata waislamu wenyewe siku hizi washaona kuoa mke wa pili sio ishu".Nataka kukujulisha na kuwafahamisha watu wengine wasiofahamu kwamba sheria,mila na desturi za Islam hazitokani na mtu mwingine,muislam mwingine au mabadiliko flan duniani;HAPANA.UISLAMU upo vilevile na sheria zake zote hadi siku ya KIAMA.HII NI TOFAUTI SANA NA DINI NYINGINE AMBAZO ZINABADILIKABADILIKA "ILI KUENDANA NA WAKATI".SEMENI MTAKAVYOSEMA,KITENGE YUKO RIGHT KWA 100%.KINACHOONEKANA HAPA NI CHUKI DHIDI YAKE,WAKE ZAKE NA DINI YAKE KAMA MAONI MENGI YANAVYOONYESHA.PILIPILI USOILA YAKWASHIANIIIIIIIIIIII????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

    ReplyDelete
  51. Anony wa January 28, 2007: 7:40pm huna sababu ya kuwakatalia watu kutoa maoni juu ya Kitenge. Kama hupendi watu waseme wanavyofikiria, basi mlaumu ndugu yako michuzi au Misupu aliyeleta picha hizi kwenye blog. Huwezi kuwaendesha watu wasema upendavyo wewe. Au hujaenda shule nini hasa shule za juu ambako kila kitu kipo open to criticism, as long as kimeletwa kwenye mjadala. Watu wanaona jamaa kachemka kwa maoni siyo kuwa wanataka awaache hao wake. Kuna vigezo vingi tu vya kuangalia unapoamua kuoa mke 1 au wengi. Je, kiuchumi unajiweza? Akipata watoto 2 kwa kila mwanamke, anaweza kuwasomesha hadi chuo kikuu bila kuchukua mkopo? Maana hizi siyo enzi za Nyerere. Pili, angaia majanga ya ukimwi sasa hivi. Unaposhindwa kumtosheleza mwanamke mmoja ndio chanzo cha kwenda nje ya ndoa. Halafu kuoa wake 2 au zaidi kunaonesha kuwa mwanamme mmoja si sawa na mwanamke 1, ila ni sawa na wanawake kadhaa. Unapokuwa kwa mwanamke 1 mwingine anakuwa na nani? Huoni kama mmoja atanyimwa haki? Unamkosea haki hivihivi. Mtume angekuwepo leo angewapa mawaidha juu ya swala la ndoa ili mwendane na wakati. Kama Uislamu haubadiliki kulingana na mazingira wala wakati hata chembe, basi hiyo siyo dini, ila ni kitu kingine. Mtume aliishi wakati hakuna ngoma. Hata mwenendowa demography etc ulikuwa tofauti. Resources zilikuwa available and scarce in a different way. Nashngaa mnapokea tu imani bila kuwa critical. Mtume mwenyewe alikuwa political leader na business man. Sasa hapo lazima ujue alikuwa na motives nyingi. Mie nisiseme sana maana sina dini yoyote.

    traditionalist.

    ReplyDelete
  52. Mniwie radhi kwa kuchelewesha maoni,Ai wazenti richabo!!Mimi nlidhani waBongo sasa tumefungua macho na tumeanza kujipata hivyo upuuzi ka' huu haupo tena!Hao mamilionea wenyewe tu hawaoi mke zaidi ya mmoja...!Halafu nyie madada zangu mnaishi dunia gani?mnataka kuwapa watoto na vijana mfano gani?Mwawa ka' masanduku bwana!Acheni ujinga!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...