ukiwa mpenzi wa bwawa la maini usiwe na wasi kwani hutotembea peke. hapa ni ngwasuma mzlendo pub nikiwa na mdau wa bwawa letu usiku wa leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2007

    Michu,kwa wazee wa ngwasuma ulienda kucheza au kupiga picha?maana koti hilo..ungelivaa kwenye kili awards.Jamaa huyo,alumn kwa patel (forest hill) 96-98,jamaa poa,classmate.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2007

    Duh jamaa anakaa tegeta Ngwasuma mzalendo pub, kesho yake alifika saa ngapi Voda kuhudumia wateja.... halafu mezani kwa jamaa yako Misupu wateja wake ni mademu tu..........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...