ngwasuma wakila mugongomugongo leo mzalendo pub

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2007

    Mhhh Viatu vyao tu mhh, hivi now dar is winter time or?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2007

    Duh huyo wa kulia ameloa hapo kwenye kati kati ya mstari..Noma!! huwa hawabadilishi nguo kwenye mapumziko?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2007

    ukimwi mtupu .

    ReplyDelete
  4. Ukimwi upo kila sehemu so be careful what your say think before you talk

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2007

    Miguu imewakomaa kama visiki vya mpingo! Mweeh!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2007

    nimegundua naona sikuhizi watu wamegundua njia ya kuziba milonjo mwendo wa maboot tu tehetehe

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2007

    Mna habari kwamba Ngwasuma siyo mtindo mpya? na wala siyo mtindo uliyobiniwa na akina Nyoshi el Sadat!!! Ngwasuma ni mtindo ulibuniwa na Zaiko langa langa ya Nyoka Longo.. na wana rekodi ambayo waliiita "Ngwasuma 19 minute" "aKd"

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2007

    Yule mwenye pinki sijui kajiharishia sijui mkojo huo!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 30, 2007

    Sir Issa vipi Mzee naona umerudi kwenye shoo ..KAMA KAWAIDA YAKO.." HUYU MHESHIMIWA ANAFANYA KAZI KWA BIDII, KAMA HUJAIEDITI HIIPICHA.."..MASHINE ZA KIWINTA (ac)ZINAFANYA KAZI/ZIPO HAPO..."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...