ali choki akipaa na supa nyamwela

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2007

    inaelekea bongo raha raha tu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2007

    Bongo kuna umasikini vibaya,hivi unavyoviona kwenye vyombo vya habari ni sehemu ndogo sana ya bongo ndugu yangu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2007

    Mimi nimependa sana hii picha, they look very live na full coordination yaani wanajua haswa kutumbuiza the audience - naona watu walienjoy haswa. All the best katika maonyesho huko Kenya

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2007

    Minimependa sana hii kwa vile inaonyesha ni mazoezi ya nguvu hapa. Hata huhitaji gym. Ukimaliza shoo uko so fit.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2007

    Michuzi naomba kama unaweza kurecodi hata kidogo tu utuwekee kwenye Utube tuone hii stle inachenywa inaonekana wanaenjoy sana tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...