mzee rashidi ngozoma matunda (kulia) naye ameibuka kugombea uenyekiti...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2007

    Hapa hakuna Kura ni Kula na PCB walikuwepo kwenye uchaguzi, maana najua lazima pilau zitaliwa leo na makundi wanamtandao

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2007

    Yanga na Simba need mordenisation.Sooner rather than later they should be run as companies be accountable to shareholders profitably.
    Hawa wazee ma neoconservatives wanachelewesha maendeleo na vibaraghashia vyao !
    Someone should tell them thank you for taking the club to this level but its time for them all to GO !
    John K

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2007

    Sir Issa naona umemnasa Mzee wa heshma huyu.."..NINAKUMBUKA ENZI ZAKE HUYU MZEE.."..HUYU MAALIM MAMBO "..MUHIMU.." ANAYAFAMU HUYU..ANAUZOEFU MKUBWAA..ILA AONGEZE UTAALAM WA KISASA.."

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2007

    MBONA MISLAMU MINGI SANA HUMU, YAANI HAINA SHUGHULI ZINGINE KAZI KUSHUPALIA MI YANGA NA SIMBA? NENDENI SHULE MTAFUTE NA KAZI ZINGINE, INATIA MPAKA KINYAA SASA HEBU ONA HIYO PICHA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2007

    Anon wa 9:23:00 AM hao waislamu ndio walimtimua mkoloni wakti nyie mnaimba mapambio kanisani.Kwahiyo hata hii Yanga /Simba ni yao,nyie mlikuwa wapi mnadhani wakati hizi timu zaanzishwa miaka ya 1930/1940?

    Mlikuwa bado mko ktk kumuunga mkono bwana(mkoloni).

    You r just a hater and looser!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2007

    chonde chonde Issa vipi tena unaruhusu comment yenye neno"mislam" ichapishwe kwenye blog yako. heshima kwa dini zetu ZOTE ni muhimu sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...