memba wa yanga wakiwa kwenye uchaguzi mkuu hivi sasa dayamondi jubilei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2007

    HUO MKUTANO WA CUF?MAANA HIVYO VIJIKOFA-BARKASHEE ZIPO KIBAO.AU SHEIKH.....ANAHUTUBIA???

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2007

    Mi nadhani huu ni mkutano wa TANU wakati wa kudai uhuru na punde baada ya uhuru mana ilikuwa ni vijikofia-barkashee hivyo hivyo hadi mkoloni akakimbia.

    Hii ilikuwa punde kabla ya "wenye nchi" hawaichukua nchi yao na "kuwasogeza pembeni" hao na vijikofia-vibarkesee"!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2007

    Duh yaelekea hawana kazi ya kufanya nini??? Ni siku ya kazi halafu VIBAGHARASHIA KIBAO loh WAISLAM BWANA halafu oooh Mwalimu ana upendeleo ohoo Mkapa... Matokeo yake ndo hayaaa... Loh

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2007

    Ebwana nilisikia Diamond imekuwa kwenye marekebisho, naona mabadiliko kidogo, kama kuta zimepigwa rangi hivi. Michuzi ningeomba kama itawezekana utuonyeshe, ukipata nafasi, baadhi ya mabadiliko hayo, ningependelea ukumbi ukiwa mtupu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2007

    UKISIKIA SIMBA NA YANGA UJUE NI WAISLAMU TU;WAO NDIO WALIOUNDA HIZO TIMU.NA WAO NDIO WANAWAPA WATU BURUDANI HATA KTK MUZIKI.PIA TUSISAHAU KUWA WAO NDIO WALIOUNDA T.A.N.U KABLA " JAMAA " "HAJAWAPORA" BAADA YA UHURU.

    PIA WAO (WATU WA PWANI) NDIO WA KWANZA KUANZA KUVAA NGUO KTK HISTORIA YA TANGANYIKA.WATU WENGINE WAMEVAA NGUO WAKATI WA UKOLONI TU JUZI,TENA KWA VIBOKO NA MIJELEDI.

    MI NADHANI TUWAACHE TU NA MAISHA YAO.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2007

    Hivi Tz kuna social security. Kila kona ukipita unakuta watu wa pwani wanacheza bao. Inamaana wao hela za kulisha familia wanatoa wapi. Kuna trust fund mahali popote wanayopata?

    Kwa vile kweli kama ilikua siku ya kazi na wote wako huku hizo office nani kaachiwa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...