aisha akiongoza safu ya washambuiaji kimugongomugongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2007

    Bwana Michuzi tunashukuru kwa juhudi zako, Lakin sasa inanza ku bore always mambo ya mugongo mugongo, Twanga pepeta ohho mara Aisha Madinda tafadhali tuletee vya maana haya yametuchosha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2007

    Hapo juu umesema kweli mugongox2 tumechoka tunataka vitu vya maana amambo ya kuangalia makalio enough sasa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2007

    Anzisheni Blog yenu then muwe mnapost vitu mnavyoona vya maana sio mnalalamika tu,, wabongo bwana hamna shukrani kabisa, hivi kama ingekuwa tunalipia kuaccess hii blog ya bwana Issa wa Michuzi ingekuwaje??? Nyie mnaolalamika mngeweza kweli kuaccess?? Mtu anapoteza muda wake kufind pictures then a upload then wapuuzi kama nyie msiokuwa na fadhila mnakuja kulalamika tuuuu,, badilikeni nyie wazushi wachache ambao hamkubaliani na kila kinachofanywa na wenzenu,,, Jifunzeni kama katika life kuna kitu kama hiki....... Kitu ambacho hukipendi wewe kuna wenzako wanakipenda.... Mwanamke ambaye haumpendi wewe basi wapo wenzako wanampenda kwa hiyo vumilieni tu mna access bure hii blog hamlipii kodi anachokifanya bwana Michuzi ni kwa matakwa yake na anafahamu fika kuwa wapo watakao boreka na watakaofurahia sasa msitake kufurahishwa nyinyi tu,,, kuweni wapole madogo..... Keep it up Issa wa michuzi

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2007

    si unajua siku hizi kuna style zao za kugeuzana basi wakisikia hadi nyimbo zinaimba mugongo mugombo basi wale wajinga wajinga ndio wanajua wameruhusiwa kufanya hayo mambo yao ya kifirauni, maana hivi sasa mabinti zetu wameharibika sana katika hayo mambo ya mugongo ni kutoa utumbo tuu. anyway I hate it.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2007

    Culture yetu imeenda wapi? Mbona naona wanawake so freely kuinama inama tu. Au ndio hiyo don't do &%$@%#@& till you get married kuavoid aids ndio maana wanawashwa hivi....??? Naona hizi picha zote wanaonekana wako so hot....Halafu wanawake wakubwa tu wako clubing tu siku hizi inamaana ni singles au ni wanawake wa watu wamekuja huko tu...

    Please keep our culturevky

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2007

    Anony wa 1:17 Nakuunga mkono pamoja na miguu kuhusu issue ya hao Mambwiga hapo juu, No body is perfect na vile vile kama wenyewe wamechoka waanzishe blog yao au waskip issue za mugongomugongo. Kamanda Michuzi nakuaminia kazi yako na najua kuna unajitahidi kadri ya uwezo wako kuwaridhisha watu wa aina yote kwenye blog yako, wembe ule ule Mzee Issa endeleza makamuzi na ukandamizaji makamanda tupo nyuma yako...!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2007

    AISHA KAJINYEA AU?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2007

    Aisha hajajinyea, kajamba sasa hewa imebaki mle mle haijatoka ndio maana nyuma kumekaa kama puto. Hewa haiwezi kutoka si unaona kaifungia chini na buti hizo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 02, 2007

    Issa vipi MZEE WA SHOO.." ULISALIMIKA USIKU HUO...NAONA UMECHUNGULIA UANI...WAMEPENDEZA SIO MBAYA KIASI HICHO...HUYO MUHESHIMIWA KUSHOTO SARE YAKE TOFAUTI NA WENGINE..NAHISI HATA HIYO "..THONG.." NITOFAUTI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...