shakashia na mpini wake akipepeta na lwiza mbutu na isimike

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi,huyo wa mwisho ulimaanisha Isinika au ulikuwa unamaanisha vinginevyo? maana wewe nawe wakati mwingine unakuwa ndivyo sivyo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2007

    Nadhani alimaanisha Jeni Isinika sijui ndiyo huyu au hapana. Kama ndiyo huyu, mtoto kajiharibu huyu. Namkumbuka sana alipokuwa akiishi Dodoma maeneo ya Airport. Haya Misoup.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2007

    Mkorogo bwana, nakumbuka zamani Luiza Nyoni alikuwaga cheusi mangala leo hii cheupe dawa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...