mashabiki wa ngwasuma wakiwa nyomi usiku wa leo mzalendo pub

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2007

    hivi kuna viti kweli kwenye huu ukumbi, au ukiingia ndo kusimama mpaka chwee?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2007

    yeah ni cocktail party

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2007

    PAMBA LESS KABISA, WAMECHOKA KINOMA!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2007

    Papa KB, nimekupata, unazidi kuiva tu mzee wa Ngwasuma. Baja Ithanga mdhima!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2007

    ukiingia hapo utarudi mbio sababu ya harufu ya kikwapa

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2007

    Sir Issa ..wananchi wanajitahidi sana kwa mambo ya starehe safi sana "..MZEE WA NGWASUMA WEWE..WANAKULIPA..".."..KAMA SIJAKOSEA HII NI LEDIZ FREE NAITI.."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...