posta ya mmoja wa wagombea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Huyu hajatulia, msimpe KURA, anataka KULA tu, HARI ndiyo kitu gani tena?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2007

    Yani hata kiswahili fasaha kinawashinda- I thought kwa sasa "ARI" ni neno common sana, wakati wa vilabu vyetu kuongozwa na watu wa blah blah umepitwa na wakati, elimu inatakiwa iwe kigezo cha msingi sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2007

    Labda inatakiwa spelling check program ya kiswahili. Nimeshaona mambo mengi tu yakutangaza huko bongo kwa kiswahili yanakosewakosewa tu. Watu wana type na kuprint tu right away bila ku proofreading

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2007

    We anon hapo juu unajifanya kurekebisha watu kumbe na wewe bure tu,ku proofreading ndo nini? sema ku proofread.Jifunze kwanza na wewe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2007

    Mi nimeliona hilo la ARI ila lingine ni kura ya NDIO nafkili kura hii inatumika kama kuna mgombea mmoja kama uchaguzi wa miaka ya nyuma ya Urais kabla ya 1995 ambapo tulikua na wagombea wengi! mnasemaje wadau?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2007

    Tehe! tehe! teh! tee! Mpe mpe huyo Mwanangu!
    Atoe kwanza BORITI kwenye jicho lake kabla hajatoa KIBANZI kwenye jicho la mwenzake. Tehe! Teh! tee!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 31, 2007

    Wote hamjui alitakiwa aseme Kusahihisha

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2007

    What is wrong with proofreading you damn ass labda angetakiwa kusema kusahihisha kama alivyosema huyo anoy hapo juu. Msijifanye mnajua sana kumbe hata nyie hamjui

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 01, 2007

    Acha ufala we anony. wa 31st May-4:35 hapo juu. Kama hujui au hajasomea language ni bora ukae kimya kuliko kuandika utumbo hapa.
    Hakuna mwenye ugomvi na neno proofreading kama lilivyo. Tatizo ni jinsi alivyolitumia hapo - "conjugation of verbs." Huwezi ukasema " bila KU-PROOFREADING" hata siku moja, hapo utakuwa verbs hujazi-conjugate vizuri. Alichotakiwa kusema ni ama "bila KU-PROOFREAD", au angeacha "ku" na kusema "bila PROOFREADING". Ukisema bila ku-proofreading yaani ukiiweka kwa kiingereza itakuwa without TO PROOFREADING. Kiingereza cha wapi hico? Sasa kwa kiingereza tunasema without to proofreading au without proofreading?
    Umesoma elimu ya MMEM nini wewe!?! Kama huelewi na we uliza. Sio kukulupuka tu hapa!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 01, 2007

    Weeh PEREZ hapo juu nawe inaonyesha hujui kiswahili hasa neno HICO sijui kama linapatikana katika kamusi ya kiwashili au ni kikwenu yaani kikurya ???? Jirekebishe kwanza kabla haujarekebisha wenzio !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...