kuna mdau katuletea tipu ya namna ya kumpigia kura flaviana


ni uhimu kutumia e-mail zetu zote kupiga kura nyingi iwezekanavyo. Ila ushauri wangu ni kwamba ukishapiga kura moja FUNGA WINDOWS ZOTE, nenda Internet Options then DELETE COOKIES and TEMPORARY INTERNET FILES, then FUNGUA TENA WWW.MISSUNIVERSE.COM NDIO UPIGE KURA KWA E-MAIL NYINGINE. Hii ni kuondoa uwezekano wa NBC kukukamata kwa kutumia "cookies", ili jitihada zako zisiende bure.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2007

    Hivi jamani hawa jamaa hawapitii hizi blog kweli? maana tusiwe tunampalia makaa mrembo wetu waka mdisco. nafikiri tumbadili jina tumwite 'matatani' ili hata jamaa wakisearch kwenye net wasigundue hii blog, mi napata wasiwasi.

    ni mtazamo tu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2007

    watu waangalie wasidelete program zao maana huyu aliyetoa tipu yeye ni Computer administrator na sisi???????

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2007

    Jamani kumbukeni kuna good cookies na bad cookies. Kama ni computer ya nyumbani na kwa wale wenye site nyingi wamesave automatic password zao na kila wakienda kwenye hizo site hawa sign tena do not tempt to delete your cookies unless you know your passwords.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2007

    wadau wawili hapo juu kwanza hata kama watapitia hii blog na wakaelewa kiswahili hawawezi kujua ni nani na nani wamefanya hivyo. ukishadelete cookies hakuna jinsi ya kutrack kuwa ni wewe uliyepiga mara mbili.

    mdau wa pili ondoa shaka hakuna hatari ya kudelete program kwa kutumia internet options.

    jinsi ya kuingia kwenye internet options: right-click icon ya internet explorer (iko kwenye desk top) then click properties.

    Flaviana jamani, tusimwangushe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 23, 2007

    Kwa jinsi ninavyozijua akili za Mr. Misifa "The Donald Trump" ile form ya kujaza e-mail yako naona wala hashughuliki nayo kuhakikisha kura, bali atakuwa ameitega kwa ajili ya marketing. Ndio maana ametarget raia wa USA tu, kama ukinoti nchi zingine hata kwenye list hazipo. Ati "International"!! Hivi hata mataifa yaliyopiga hatua kiuchumi kama ya Ulaya, Japan na China unaweza kuya-diss kwa kuyagroup as "International"? Huyu The Donald anataka prospects tu awatumie e-mail za kuuza bidhaa zake ambazo zinapatikana Marekani tu.

    Kwa hiyo msijusumbue sana kukomplicate zoezi la kupiga kura. Wewe piga halafu piga tena halafu piga tena. Lakini kuwa upande mzuri tumia detail tofauti kila saa. (yaani email, na anuani tofauti)

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 24, 2007

    Hello shime tujitahidi. Nimepokea email sasa hivi mrembo wetu ameingi top 10 kwenye Pageant Almanac's Miss Universe 2007 Pageant Playoffs

    Tujiandae tena kumpigia top 5 lakini hiyo wanasubiri mpaka preliminary pisha zao ziwe release. Tumwombee Mungu kuwa aingie kwenye hiyo top 15 basi...

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 24, 2007

    Mimi naona bora ni kusambaza ujumbe kwa watanzania wote na kuwaambia wapige kura kuliko kuanza mambo haya ya wizi wa kura.

    Mtu hata kama hajui Kiswahili akisoma hiyo tip anaelewa inamaanisha nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...