wanafunzi wa kibongo walipofika tu nje ya ubalozi wa ukraine alhamisi iliyopita, wakiwa na matumaini kuwa matatizo yao yatatatuliwa....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2007

    Poleni sana vijana. Msikate tamaa. Labda serikali inapendelea msome nyumbani japo nafasi nazo hakuna. Mkifika muende moja kwa moja kwa JK muongee naye, ila vaeni sare za CCM sawa watoto wazuri???? Atawahurumia!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2007

    Hapana. Nafikiri serikali imekosea. Ingepaswa iwaite nyumbani na kutoa uamuzi huko huko. Imagine mtu serikali yako ime kukana ukiwa kwa watu si unaweza hata usirudi nyumbani au ukaogopa ukirudi utatiwa ndani..

    Hapo Prof Msola amechemsha kabsaaaa... Lets face it

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2007

    hebu acheni ujinga nyie, rudini nyumbani kama mnashindwa kulipa ada huko. Mambo ya kukimbilia sijui ubalozi wa Uingireza ni kujiabisha tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2007

    Ndio maana watu wakuwa aslyum seeker umbumbafu kama huu je hangekuwa mtoto wa jk angemfanya kama hivyo......damn aibu kwa nchi na watu wako.,

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2007

    JK watoto wake wote kawasomesha UDSM sasa ninyi mnajifanya bora kuliko watoto wake etiiii, ila ni dili kama serikali imewakana, basi ombeni hifadhi kwa madai mkirudi mtateswa sana na kufungwa henda mkukata huko huko

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 24, 2007

    Bw. Michuzi,
    Kwanza naomba kukupongeza kwa kuweka kwenye blog yako taarifa za hawa vijana wanaotaabika wakiwa masomoni huko nchini Urusi.
    Pili naomba kuwapa pole sana hawa vijana kwa dhahama iliyowakuta.
    Naomba niwapongeze vijana hawa kwa ustahimilivu walioonyesha kipindi chote tangu walipowasilisha matatizo yao kwa wahusika mwaka jana.
    Kwa kweli sidhani kama kuna mtu kati yetu ambaye angependezwa iwapo mwanae, ndugu yake, mdogo wake, kaka yake, dada nk angekuwa katika mazingira yaliyowakuta hawa vijana huku serikali yetu tukufu ikielekea kutochukua hatua yotote.
    Naomba kuwasihi hawa vijana waendeleze mshikamano wao, wavute subira na wawe watulivu wakati wakisubiri kupata msaada kutoka kwa taasisi au serikali yoyote au hata watu binafsi ambao watakuwa tayari kuwasaidia.
    Poleni sana vijana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...