memba wa yanga wakikaguliwa uhalali wa kadi kabla ya kuruhusiwa ukumbini kwa ajili ya uchaguzi mkuu dakika chache zilizopita. tayari wagombea wote wameshanadi sera na kujieleza na matokeo yatatoka wakati wowote kuanzia sasa. nitawafahamisha. cha kufurahisha ni kwamba hadi naingia mitamboni hakuna bakora hata moja iliyorushwa kuonesha kwamba sasa jangwani ni shwari...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2007

    Nawatakia watani wa Jadi uchaguzi mwema ila mhhhh mbona unakwenda sambamba na uchukuaji fomu wa ccm?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2007

    michuzi toa huu upuuzi wa yanga hapa kama huna picha bora ulete mjadala tujadili

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2007

    Huyu jamaa anayesema upuuzi wa Yanga naona hana sera kabisa. Kaka Michuzi "IGNORE HIM".

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...