ali choki akiwashaga moto huwa hapakaliki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2007

    we dada huwaogopi hao wanaume wote,watakuchana
    shauri yako,

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2007

    we dada huoni aibu kuwa nanihii ho wanaume wote,kweli we kiboko,watakuchana ohoooooo,SHAURI YAKO

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2007

    jamani akiachika atalalamika?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2007

    MAISHA YA SIKU HIZI YALIYO MATAMU HUWA YA MUDA MFUPI. UKITAKA KUISHI MUDA MREFU MPAKA UTEMBEE NA FIMBO SHAURI YAKO. MWACHENI AJIFAIDIE JAMANI. WE ANGALIA UKITAKA FUMBA MACHO SHETANI APITE AU....UTAJIJU

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2007

    eboooo wee dada huna haya kumwaga razi namna hiyoo!! hivi ukishafanya hivyo unajiskia raha eeeh! embu jione kwanza ulivyo kandamizwaa,hakya ya nani vile wewe ungekuwa shemeji yangu,mimi ndo ningekupa talaka na sio kakangu! tehe,umenga'nga'nia kiuno cha choki kama cjui nini,na huyo wa nyuma ndo kajisahau kabiser! hehe kweli raha jipe mwenyeweeeee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...