mwaka 1988: hayati moses nnauye akipozi na baraza la kwanza la chama cha muziki wa dansi. aliyesimama shoto ni mama bishanga aliekuwa afisa utamaduni na wa pili shoto chini ni chifu shoghollo chali, katibu mtendaji wa baraza la sanaa la taifa akifuatiwa na sajini mstaafu wa polisi na mwenyekiti wa chamudata kassim mapili, mh. nnauye, mzee kaduma na juma ubao. nnaowakumbuka nyuma toka kulia ni mbuya makonga 'adios', ali jamwaka, mzee hozza na abel balthazar. wa tatu shoto juu ni mnenge ramadhani
Home
Unlabelled
chamudata
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
huyo mwenye ndevu kama mzee meko anaitwa nani tena vile?
ReplyDeleteREST IN PEACE. Gen Mosses Nnauye. Tutakukumbuka daima milele.
ReplyDelete