enzi zile za loliondo geti nilikaa sana gesti hii katika harakati za kusaka umbea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2007

    Katabalo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2007

    Loliondo sasa ngoma hua iliishaje?Ni kweli Gorge Fundi Sayore akiwa mnadhimu mkuu wa wa JWTZ aliingilia kati au?Mwinyi kweli alikua ameuza hiyo sehemu au?MERC.ORG(OLE LODAPASH) ni mmasai anaishi Wasington DC aliandika makabrasha kibao kuhusu hiyo saga.Sasahivi inanyemelewa tena na Paul Tudor Jones mwekezaji mwenye fweza nyingi sana East coast ya Amerikani.
    Michuzi omba undani mimi ninao.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2007

    KWENYE HIYO GESTI KAMA HUKUTOKA NA GONJWA LOLOTE? BASI NAFIKIRI WEWE NI ZAIDI YA SUGU,NA KWANINI ULIISHI GESTI HIYO? AU ULIKUWA UNA SAVE PESA?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2007

    michuzi usikose kutulushia matokeo ya timu yetu ya taifa

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2007

    jAmAnI mNaWeZa FuAtILiA gAmE lA sTaRs Na BuRkInA fAsO hApA. HaKuNa PiChA nI mAeLeZo tU LkN LIVE!!!!

    http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/6759819.stm

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2007

    michuzi bwana wenzio wanaenda baghdab, gaza n.k leo hapo unalalamika acha izo bro.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 16, 2007

    Nombeni recipe ya loshoro. Mimi sio mmasai lakini nilikulia Arusha.

    Nikiwa mdogo tulikua tuna rafiki zetu wamasai walikua wanatuletea chakula kimoja kinaitwa LOSHORO .....kilikua kitamu sana

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 16, 2007

    ..Mheshimiwa Issa..KUMRADHI MAALIM HABARI ZA SHUGHULI NAONA UNAKUMBUKIA ENZI ZAKO KAKA...HICHO NDIO KILIKUWA KIWANJA CHENYEWE..."..KWELI VYA KALE NI DHAHABU AKSANTE.."..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...