Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I can say that Amina Chifupa amefananishwa na Princess Diana kwa kweli, manake hata watu waliokuwa wanamponda kipindi cha uhai wake wamemwaga machozi baada ya kupata taarifa!! Nasikitika hatutaona tena tabasamu lake!! Alikuwa changamoto kwa taifa letu!! RIP Amina!! Tulimpenda lkn Mungu amempenda zaidi!! Poleni Familia ya Amina, Ndugu wote, marafifiki zake na watanzania wote kwa ujumla!! Mungu aipumzishe Roho ya Marehemu Amina Chifupa Mahala Pema Peponi Ameni!!
ReplyDeleteNimesikitishwa na kifo cha ghafla cha marehemu mheshimiwa Amina Chifupa, inasemekana ni malaria ndio imemuua. Lakin toka tarehe june 8 anaumwa asipate nafuu hakukuwa na utaratibu mwingine wa matibabu? Mbona wakubwa wengine wanapelekwa nje ya nchi kwa matibabu kwanini si hivyo kwa marehemu Amina Chifupa? Wananchi wengi wanahisi kuna jambo lingine lilofichwa kuhusu kifo ckake, hivyo ni vizuri mwili wa marehemu ungefanyiwa autopsy ili kuhakikisha kifo chake ni kwa mapenzi ya Mungu. Haki zetu ziko wapi. Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pemapeponi, Amen.
ReplyDeleteINA LILAHI WAINA ILAHIM RAJIUN poleni sana Wazee wa Amina, ndugu jamaa,na marafiki wote wanaomuhusu marehemu amina, nafahamu fika ni wakati mguu sana kwenu nyinyi wafiwa mola akupeni moyo wa sub-raa na wakumshukuru daima maana ni kazi yake na hapingwi na daima atakuwepo miyoni mwenu, na ndugu zangu watanzania wote kwa ujumla poleni sana kwa kifo hichi cha mpendwa wetu amin. mola amlaze roho yake mahali pema peponi amin.
ReplyDeletelakin nina swali, hivi siku hizi waislamu huko nyumbani kwa maendeleo tuliyonayo huwa tunazikwa katika masanduku kama wafanyavyoo wakiristo. naombeni wadau wenzaku au michu unifahamishe maana nilishanda nilivyoona hili sanda limekaa kama sanduku . nataraji kujibiwa ili nifahamu kama nyumbani mambo yote siku hizi ya kizungu zungu ...