wadau nafanya juu chini kufuatilia mtanange wetu na bukina faso. hadi dakika hii mtandao wa uhakika nilipata ni huu wa bbc http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/6759819.stm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2007

    Michu Wenzetu Sudan wanatesa wameshinda 2-0 so lazima wataqulify kama at least second best maana wana pts 12 sasa.

    Link nyingine ni hii hapa

    http://www.goalzz.com/main.aspx?c=2033

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...