wadau naomba maoni juu ya snepu hili. je ni la kupigwa ama la kutengeneza?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Mh! Utata huu! Mimi naona ni ya kupigwa....jamaa alikuwa kwenye juu ya jengo lingine hapo au?

    ReplyDelete
  2. ya kutengenezwa...

    ReplyDelete
  3. hilo ni la kutengenezwa,mheshimiwa Kim umetoka bomba,vp Bongo ?

    ReplyDelete
  4. Michuzi!! Hapo ni mchezo wa kamera, Lens pamoja na photoshop kama sikosei. Ila ni ufundi mtu wnagu hilo ji snepu limetulia

    ReplyDelete
  5. Hiyo ni ya kutengeneza kwani Focus haiwezi kuwa clear namna hizo for far object hasa hilo jumba. Ila kwa kutokana na maendeleo ya technology inawezekana hiyo camera ikawa more advanced for multi focuses hivyo ikawa ni ya kupigwa

    ReplyDelete
  6. Hilo jengo ni twini tawa lililopigwa na osama nchini marekani.huyo jamaa ni mganga wa kienyeji anapiga ramli kujua nani walilipua majengo hayo.Wakati akipiga ramli ndo wewe michuzi ukampiga picha na yale majengo ya twini tawa yakabadilika kwenye kamera na kuwa kama hilo lililoonekana hapo.Ukiamini ni kweli kama huamini LAZIMA utabisha.Hayo ndo mambo ya imani ya mtu.kwikwikwi!!Au?

    ReplyDelete
  7. Oyaa Kim, hiyo ni ya kupigwa ndiyo maana mmeifanya chemsha bongo.

    ReplyDelete
  8. Michu,

    hiyo picha piga ua, ni photoshop. Kama anon mmoja alivyosema hapo juu focus ya tower na brightness haviendani na shade na focus ya sura yake.

    ReplyDelete
  9. Michuzi,
    Genuine foto; close up shot using a wide angle lens. The distant object in this case control tower, becomes a focal point.

    SteveD.

    ReplyDelete
  10. Anon wa 2/10/2007 11:50 PM EAT, You are very funny! kwi kwi kwi!

    Kwa kweli umeniacha hoi, hata hivyo madai yako yote ni ya kweli kabisa, maana hata miye leo adhuhuri nimeota ndoto ambayo inakaribiana sana na hayo hayo uliyoyasema... kweli kabisa hilo jengo ndiyo lile lililo pigwa na Osama siku ambayo George Bush alikuwa anajifunza kufyatua matofali ya kuchoma.

    Ila mengine niliyoona ni ya kweli ni kuwa hilo jengo ndiyo pahala pale pale ambapo Chemical Ali alitahiriwa akiwa na umri wa miaka 14. Lakini pia nimebaini katika ndoto yangu kuwa nawe ulikuwa karibu na hapo pahali kabla ya kupigwa.

    Baada ya jengo kupigwa ulikimbilia Kabul, Afghanistan na ulipofika huko ulijihusisha na kilimo cha kisamvu.

    Basi, katika pita pita zako mtaani siku moja ulishambuliwa na siafu, ambao walikiharibu kabisa kidole gumba chako cha mguuni. Bahati mbaya sehemu uliyokuwa siku hiyo haikuwa na daktari hata mmoja. Ila wakati unajaribu kupiga piga simu ili kupata huduma ya kwanza baada ya kung'atwa na siafu, Osama alinasa mawasiliano yako ya njia za simu za mkononi kwenye mitambo yake iliyo ya kinyemela na akakuelekeza uende kwenye ghorofa alilokuwa anakaa kwa muda.

    Ulipofika hapo alikukaribisha uji wa mtama uliochanganywa na choroko. Ulionekana kuufurahia sana kwa kweli, ndipo yeye mwenyewe alianza kukuuguza kidole gumba chako. Alimaliza na ulimshukuru pale alipokufunga kitambaa cheusi kwenye gumba lako ili kuzuia kisivimbe. Ulifanikiwa kurudi nyumbani salama, ila bahati mbaya tu kuwa siafu wale walikushambulia vibaya sana, maana hata baada ya kupona bado kuna matundu saba ambayo yamebakia kwenye kidole gumba chako kama makovu.

    Baada ya kurudi Bongo ulifanikiwa kutumia kidole gumba chako kama mtaji, maana hivi sasa kutokana na mikwaruzo mingi ambayo imebakia umeamua kufungua karakana ya kunolea visu vya mikate pale sokoni Kariakoo kwa kutumia kidole gumba!!

    :) :) :) :D :D

    SteveD.

    ReplyDelete
  11. Kaka Misupu Kuchezea Kamera Kote Huko Bado Unataka Kututia Changa La Macho?? Kiwembe Kinaonekana Kabisa Kilikopita Kwenye Hio Picha Ya Jamaa Kabla hajabandika Juu Ya Hio Ingine!!!..

    ReplyDelete
  12. Wewe Kim..hata mimi mpiga picha maarufu wa Reading sina la kusema..sasa na Migawo huko vipi? Au unafaidi mwenyewe....mzee wa migawo nasubiri unipatie wangu..au umenitupa? Kumbuka tusitupane..huo ni utaalam wa kutumia "wide lens" cameras...!! Nimekutonya..!!
    Mzee wa Migawo...!!

    ReplyDelete
  13. eti we mpiga picha maarufu wa reading migao ipi hiyooo...nasie tuisalandie anagawa michuzi au kim??

    aaaaa Michuziiii hiii picha hapo umeihezea hakuna ubishiii

    ReplyDelete
  14. Ah wapi bwana!Bila ubishi hii imetengenezwa bwana!Sioni kama ni live!

    ReplyDelete
  15. Ah wapi bwana!Bila ubishi hii imetengenezwa bwana!Sioni kama ni live!

    ReplyDelete
  16. Me naona ni ya kupigwa. KIM VP M2 wangu?

    ReplyDelete
  17. hiyo piga uwaa hioo ni ya kupigwaa...

    ReplyDelete
  18. HIYO KITU NI SONY DSC-200 FOCAL
    LENGTH NI 7.9MM

    ReplyDelete
  19. mbona rahisi wajameni, unakaa mbali usawa na jengo hilo halafu unanyoosha mikono kulingana na unavyotaka kulishika jengo mtu anakupiga picha, nimepiga picha za aina hiyo nyingi sana hasa taj mahal mnanipata lakini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...