mbawa mpya za bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Huyo twiga yuko sawa kweli? au anacheza muziki?

    ReplyDelete
  2. tatizo langu mimi ni hiyo MOTTO..."the wings of kilimanjaro"...kilimanjaro ni MLIMA...toka lini mlima UKAWA NA MBAWA, NA UTEGEMEWE UTARUKA?...no wonder why after all these years, this mountain with wings is still struggling to take-off...tutafute motto ingine

    ReplyDelete
  3. Sasa kaka michuzi hiyo ndege imepakwa rangi mpya, je inaruka?, au imewekwa mapambo pale kwa baba kambarage international airport?.

    ReplyDelete
  4. vipi tena kaka michuzi wamepata ndege kubwa au ndio hilo hilo bango pale ATC house
    maana sisi tunjijuwa kwa mdomo au ndio mila

    ReplyDelete
  5. Angalau sasa tunalo la kujivunia. Hata Reli wanaweza kujiendasha wenyewe na si kutuletea gabachori aiendeshe.

    ReplyDelete
  6. Safi jamani loh!! Ilishakuwa aibu jamani. Hata kama bado tunachechemea kuna maeneo mengine tunajiweza. I appreciate the motto...we anony wa October 2, 2007 5:37:00 PM, jaribu kuangalia maana ya ndani, usitafsiri neno moja moja hutopata maana. Wings hapo inaashiria shirika la ndege, yani ability to fly, na kilimanjaro ni Fahari yetu, kwa hiyo kuyaunga hayo maneno pamoja tu kunatuma ujumbe uliokamilika.

    ReplyDelete
  7. Safi sana and about time!

    Ila naona hiyo snow-cap imekumbwa na global warming! Wangeifanya fractionally kubwa kidogo, I think.

    ReplyDelete
  8. At least kilio cha wanaanchi kimesikika. Yaani makaburu walipochukua 49% share ya ATC eti wakabadilisha wakaweka bendera ya SouthAfrica na kutoa nembo yetu. Kumbe at times kupika kelele jamani kunasaidia enh?! At least now our Name apperas on the plane. Bravo!!!

    ReplyDelete
  9. kuna mekuu kajiita kilimanjaro hapo juu...KWANI TANZANIA NI MLIMA KILIMANJARO TUU??...kuna ngorongoro crater, mapango ya amani, magofu ya kaole, selous game reserve (biggest in the world), oldonyo lengai (only volcano with white ash), kuna vivutio vingi tu!... babaangu usilazimishe huo mlima wenye mabawa kuwa the only attraction in TZ...if so i do not recall when this vote was done...

    ReplyDelete
  10. ASLAAM ALEIKUM KWA MPIGO PALE..WASEE KUMBE MPO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...