Issa - Pole na kazi na hongera nyingi kwa kazi nzuri unayofanya.Hii picha nilipiga kigoma, wiki iliyopita siku ya ijumaa kuu.
Huko, shirika la ndege linalotoa huduma in moja tu, nalo in precision na ndege iko moja tu kwa siku. Huko bwana mtu hawi na uhakika wa kuondoka mpaka anapokuwa tayari kwenye ndege. Ukizubaa TU, umelala.
Ingekuwa vizuri sana kama ATC na Community air wangewekeza huko, manake watumiaji wa usafiri wa ndege ni wengi sana, na kwa kweli Kigoma imesahaulika kabisa.
Kazi njema
Mdau Jay

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwa hiyo Waha wataacha kudandia treni kuja dar na watakuwa wanadandia ndege ama?

    ReplyDelete
  2. community air imesha kufa, Anthony Dialo anadaiwa ile mbaya.Hivyo dont even think about.
    Mfanyakazi community air.

    ReplyDelete
  3. Community ndio the best ndege in the country,

    Yaan wana ndege kibao kias cha kwamba ukichelewa hii unapata ingine,

    Tatizo linalowaangusha wana -Pw ni viwanja, vingine vibovu, vingine havina taa, vingine vidogo, yaan ilimradi ni bugudha tu,

    |Lakin wanajitahidi sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...