bosi wa masoko wa vodacom tz ltd ephraim mafuru akiongea na waandishi leo
ephraim mafuru akipeana mikono na mkurugenzi wa miss tz anko hashim lundenga leo, na chini mwandishi mwandamizi iche mang'enya akiuliza swali kwenye mkutano huo wa leo
kwa mujibu wa afisa uhusiano wa kamati ya miss tz mh. ricco haidan, ambaye ndiye katuletea snepu hizi, V odacom TZ Ltd, leo wametangaza azma yao ya kuendeleakudhamini mashindano ya urembo ya Miss Tanzania kwa muhura mwingine wa mwaka 2008
kama kawaida, Vodacom watatoa udhamini pia kwa baadhi ya mikoa, wilaya na vitongoji vya mkoa wa DSM.
Vodacom Tz Ltd inatarajia kutumia kiasi cha shilingi millioni 600 katika kufanikisha mashindano ya urembo ya Miss TZ kwa mwaka 2008
amesema bosi wa masoko wa Vodacom TZ Ltd., Ephraim Mafuru.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Kuna mtu ana contact zozote za Iche Mang'enya kama email or 4ne number??? Michuzi pls help me out.
    Thanks

    ReplyDelete
  2. Hey Mafuru, Mambo vipi towasiliane nipo hapa UK, Tumesoma wote CBE, njoo tupate kinywaji kabla hujarudi – wako wapi kina Kabeho, Paul, Kamugisha, Rwechungura, Mkingule, Bash, Kazeze to mention few ebwana tuwasiliane WOTE2000@YAHOO.COM - Mukinda

    ReplyDelete
  3. Wasanii watupu hawa waandaaji wa Miss Tanzania, kila mara kutuaibisha tu...

    ReplyDelete
  4. DADA MANKA CHANCE HIYO LABDA UKIWA MISS TANZANIA UNAWEZA KUPATA NUMBER TISA BILA YA TABU TENA HATA KUMI UNAWEZA UKAWAPATA KWA WINGI

    ReplyDelete
  5. Yah! Hayo ndio maendeleo, ndugu yangu Iche na wewe siku hizi unavaa suit, bomba kaka watasema sana lakini wengi huwa hawana suit za kuvaa, wasiwasi wangu tu ni kuwa na joto hilo la hapo nyumbani utahimili na suit yako? au kaka siku hizi una usafiri? nice to see you brother!!

    ReplyDelete
  6. katika hiyo millioni 600, pasu la mafuru ni ngapi?

    ReplyDelete
  7. 600 za simu zenu mnazopiga na kubeep tena umenunua simu yako mwenyewe jamani simu zinatolewa na host these days. Usingiziiii mziitoooooooo bado

    ReplyDelete
  8. Iche ndaniya nyumba Haaaaaa

    ReplyDelete
  9. Hizi hela mbona ni nyingi na zingeelekezwa kwa wahitaji/needy people! u Miss bado safari ndefu, why kupoteza milioni zote hizo na hali tunajua Tz haitakaa itoe Miss world. I am sure, not in this generation, may be wajukuu wa wajukuu zetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...