Mama Salma Kikwete akikagua shamba la mpunga lililolimwa kwa kutumia mbinu bora na kanuni za kilimo muda mfupi kabla ya kufunga Mafunzo ya shamba Darasa kwa wakulima wa Msoga wilayani Bagamoyo leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2008

    nasikia south kumekucha wahamiaji wanauawa! hivi hii imekaaje? wamesahau mazimbu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2008

    Hapo mama kasahau kuanika kitenge begani..au sababu ya shambani

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2008

    Huu ni unafiki uliovuka mipaka.Ina maana gani hawa so-called viongozi,watu maarufu huwa wanamaana gani kutembelea mashamba ya wavuja jasho kisha kutowasaidia kuendeleza hawa wakulima?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2008

    mbigiri mbona unaleta pumba,tafuta takwimu za misaada aliyotoa mama salma kikwete,kabla ya kulalama

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...