Home
Unlabelled
tbc yaonesha msiba wa mh. wangwe laivu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Da Daily news papo poa sana. Hivi uyo mwenye sketi nyeupe anaitwa nani vile ohh nimemsahau.
ReplyDeleteMwanangu hicho kitu chenye nyeupe na nyeusi naomba nikija Michuzi nisukumie! Pesa yangu ya kubeba maboksi nitakabidhi bila ubishi. Kimetulia mwanangu!
ReplyDeleteMnisamehe wadau kwa ntakayosema kwani nimehuzunishwa sana na vifo hivi, hasa vinavyoshusiana na ajali za barabarani watanzania na kwa viongozi wetu hasa wabunge naomba nitoe ushauri kwao, nakubali usemi kuwa ajali haina kinga, ila naomba wawe namakini na wayape maisha yao uthamani kwani kuna wengi wao bado tunawahitaji katika kuendeleza gurudumu la kutetea haki na maendeleo ya nchi wanatutoka, wajaribu kuwa na madereva wa uhakika na magari ya uhakika, sio kujiamini wenyewe au kukamata madereva hovyo mitaani kwa kukwepa labda malipo ya juu au vipi gani, Nimejaribu kutafakari na kuona ajali nyingi zinazotokea zinasababishwa na uzembe na miundo mbinu finyu ya barabara zetu ambazo si pana vya kutosha na madereva wao si wale mahiri saaana wako wa kiwango cha kawaida kiasi anamuona dreva wake hajatulia bado anakuwa nae tuu, bila kuhoji na kushituka. Sina jinsi ya kuongea vema zaidi sina nia mbaya ni kama ushauri ili kupunguza matukio kama haya na simanzi zinazotushika tunapompoteza mmoja wetu.narudia tena poleni wafiwa na watanzania wote kwa misiba ya kuwapoteza wapendwa wetu na viongozi mahiri wa kutetea haki za wanyonge.
ReplyDeleteMungu ibariki tanzania.
Namwona dada Tuma Abdallah hapo. Huwa nampenda sana and I wish other female journalists could live and be professional like her.
ReplyDeletesasa kwa hali hii ya kuzabaa hivi kazi zilifanyika kweli hapo daily news mana kila mtu anaonekana HAKUTAKA KUPITWA! na kila hatua alikua lzm ashuhudie
ReplyDeleteAnonymous hapo juu wa6:49pm huyo dada mwenye skirt nyeupe anaitwa mwanamke kama umemsahau.
ReplyDelete