BWAWA LA MAINI LIMO KAMA KAWAIDA 2008/2009
On the road to Rome
WATUNDIKIE WADAU, NANI KUINGIA FAINALI ROME ITALIA MNAMO TAR 21 MAY 2009
PIA WAWEZA KUPATA HABARI ZA MICHEZO NA IT FORUMS KUPITIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hata Afande Sele alisema si lazima wote tuimbe imetosha wengine wawe mashabiki!!
    Sasa tangu lini Michezo ukaichanganya na IT Jamani?
    Kuweni wabunifu bwana

    ReplyDelete
  2. Naona ni FASION sasa, nami pia nina wazo la kufungua kijiblog changu ili niende na wakati. Kijiblog chenyewe nadhani kitakuwa cha waosha vinywa tu, hamna story wala nini babbake!!

    hivi mnadhani kila fani ni ya maigizo tuu, mlete usanii hata kwenye fani za watu, kuweni wabunifu jamani!! Aa!

    ReplyDelete
  3. Hamna ubaya wowote, ni kitu ya bure unachotakiwa ni kuwa na Digital Camera na si lazima ukawa na Computer kwani unaweza kutumia internet viosk huko mtaani, lakini pia ni vizuri ukawa na laptop yako na access ya internet ya kwako mwenyewe unaweza kupata hii toka kwa kampuni za simu za mkononi au posta simu, is very simple like A,B,C. pia inajaribu kujenga utamaduni wa watu kupenda kikokotowa kwani dunia ya sasa bila kikokotowa/computer ni taabu kidogo kufanikishwa mambo fulani fulani kwani kinatoa mawasiliano ya haraka sana kwa kila mtu kuanzia wanafunzi,
    wafanyabiashara, wafanyakazi na wakulima, hata jobless. Unaweza kupata habari ndani ya internet ya aina yoyote hapa duniani, kwa mfano unataka kufuga nguruwe unaweza kupata maelezo yote kuhusu ufugaji wa nguruwe,pia kwa mfano mwanafunzi umeenda shule mwalimu kafundisha topic hujamwelewe unaweza kupata tuition ndani ya mtandao. SO IT IS A LITTLE BIT GOOD PEOPLE TO KNOW HOW TO USE COMPUTER AND INTERNET, NA HII NJIA YA BLOG NI MOJAWAPO YA KUJENGA UTAMADUNI WA WATU KUPENDA COMPUTER NA UTANDAWAZI.

    ReplyDelete
  4. All over at Villa Park! Thank goodness! That was a pretty poor game... it ends goalless and Liverpool lose their 100 per cent record.pole Michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...