Home
Unlabelled
kuchimba dawazzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Birthday boy angalia usijekutana na nanii Mfalme wa mwituni/nyika.
ReplyDeleteMAALIM ISSA TUNASHUKURU KWA “JUHUDI NA MAARIFA” KATIKA KUTUPASHA HABARI. NAONA UMETOKA “KUJISTIRI” HALA HALA YAHE NASIKIA KUNA “JANI” LAITWA “UPUPU”.
ReplyDeleteINASEMEKANA “MSAFIRI KAFIRI”
(DONT TRAI THIS AT HOME)
“BINAMU” ALIPATA “DHARURA” KAMA HII…BAHATI MBAYA SIO MTAALAM WA “ MAJANI PORI”… UZURI NI KWAMBA, KULIKUWA NA “TEMBO” AU (MVINYO) KWENYE GARI…NA “TEMBO YALEWESHA”… BAADA YA MATUMIZI , NANIHII “IKALEWA”….
Mhhhhh!! Nilifikiri tabia ya kunya machakani ilikwisha!! kumbe wadau bado wanaiendeleza. Nipo hapa Houston, nikienda safari za Dallas kuna vyoo vya umma kila kilometa 12 ama kweli kwamama tambarare
ReplyDeletesasa mjomba,rutuba ingine imebaki,maana sijaona umebeba toilet paper
ReplyDeletena kweli mamtoni rest areas kibao mkuu wa wilaya hii sukumia bungeni angalau wasafiri wawe na sehemu za kujisaidia.
ReplyDeleteMambo ya Shake well after use!
ReplyDeleteteh teh teh teh teh teh ......
Sasa ustaadh mbona unafanya shughuli bila nyenzo muhimu ya kutawadha? Noma Maalim Issa!
ni ustaadhi huyo hatumii toilet paper, hivyo hapo jibu unalo!
ReplyDeleteLooh kaka michuzi umeniacha hoi, haya nambie unatoka wapi ka sio kunanihii, anyway najua ulikuwa na chupa ya maji ya uhai kwenye mfuko so yalikusaidia, heheheheheh nice photo
ReplyDeleteMichuzi, natumaini ulikagua eneo kabla ya kuchuchumaa kuhahikisha hakuna nyoka!
ReplyDeleteMICHUZI TUMBO LILIMSHTUA KIDOG,MAPOCHOPOCHO YA DODOMA HAYO...SASA HATA MAJI HUNA,WALA TOILET PAPER,SI UTANUKA VIBAYA KWENYE GARI!!
ReplyDeletemichuzi umenikumbusha kitu ambacho nilisha kisahau, nakumbuka hata mabasi yalikuwa yakisimama ili watu waende kujisaidia maporini, cha ajabu ni kwamba mpaka leo jamani serikali haijaweza kujenga sehemu kwa ajili ya hiyo shughuli?.Huku kuna sehemu maalumu zimejengwa zinaitwa rest area kuna vyoo hapo na sehemu kubwa ya parking kwani ukichoka kuendesha unapark unapumzika na hata kulala ukitaka, na hizi sehemu zipo kila baada ya kama mile 40 hivi. hayo mambo ya kujisaidia maporini kwa wenzetu wenye maumbile tofauti wanawezwa hata kuingiwa na wadudu na kwa wale machangu/milupo/vicheche hata panya buku anaweza akapata upenyo
ReplyDeleteMbega
kaka uchafuzi wamazingira tunategemea wewe ndiye ulipaswa kukemea hilo
ReplyDeleteMJOMBA MICHUZI YULE SIMBA WA MIKUMI HACHEZI MBALI.OOOH! MUULIZE MJENGWA ANAMFAHAMU SANA.
ReplyDeleteWe unayesema mzee wa Houston, Kwa mama hakuna sehemu yoyote inaitwa Houston...sasa sijui uko Houston ya Mtwara au?
ReplyDeleteKwa baba ndo kuna Houston
Jamani, msimsumbue Michuzi. Kuchimba dawa ni mila na desturi tunaposafiri masafa marefu barabara za Bongo. Inaonekana nyinyi mnaomsumbua Michuzi hapo ni mafisadi ambao usafiri wa hizi barabara hamuujui. Nyinyi ndio mafisadi mnaounguza hela zetu kwa kuruka na ndege kila siku.
ReplyDeleteKa Michuzi umeenza we mwenyewe uchokozi. Sasa kwa nini usituonyeshe jinsi unavyokaa wakati wa kunya? Pia ningeomba utuonyeshe nanihii yako kama wanavyofanya watu wa Utamu! Nina ku-mind wewe! Wadau wote wa hapa UK tunakusubiri urudi kwa Mama tukupe vitu murua.
ReplyDeletemichuzi umenanawa mikono lakini au !!!!
ReplyDeleteJamani ehh michuzi kaenda kuwekelea mbolea hajachafua mazingira hahahaha......
ReplyDeleteNilipokuwa Zimbabwe kwenye safari basi ilisimama na abiria wakiwemo wazungu walishuka kwenda kujisaidia kichakani. Nilipokuwa Jamaica kwa ndugu zangu upande wa mama, hivyo hivyo. Na hata hapa Marekani kama hakuna toilets utaona watu wanajisaidia pembeni mwa barabara. Ila hapa USA ole wako ukamatwe.
ReplyDeleteMaji ya uhai ndogo au shake well after use sio suluhisho, kuna njia nyingi mbadala za kujistiri allah amezibainisha kwa ukosefu au dharura, ikiwemo kustanji kwa ukosefu wamaji au kutayamam, kwa wale wasomi wa dini ya kiislam tunafahamu hilo.
ReplyDeletefulanaaaaaaaaaaaaaaaaaaz naiona inakatiza kutafura miti shamba !!
ReplyDeleteTHIS IS NONSENSE, LENGO LA HII PICHA NI NINI SASA. COZ IT DOESN’T ENTERTAIN NOR EDUCATE.
ReplyDelete