chako ni chako mchana
wimpy leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Chakonichako ilikuwa baa ya mzee Mamuya na watoto wake kina Messe Mamuya na wengine sijui bado wanaimiliki au la kama bado hongera zao nyingi sana kwani ni kati ya baa za zamani sana eapoti.

    Muddy

    ReplyDelete
  2. mwenye hiyo home ni mpenzi wa timu gani?

    ReplyDelete
  3. Michuzi asante sana, umenikumbusha mbali saaaana!.

    ReplyDelete
  4. Bro Michu mimi nimezaliwa na kukulia Dodoma mpaka kumaliza elimu yangu ya msingi pale Dodoma Mlimani primary school.Sio siri hivyo viwanja vimekuwa kwenye chat kwa muda mrefu sana. nakumbuka hapo Wimpy ndio tulikuwa tunakwenda kununua koni wakati wa sikukuu nikiongozana na dada zangu nikiwa bwana mdogo sana enzi hizo na sasa nikaribia kufikisha miaka 30.

    Mkuu nashukuru kwa kunikumbusha zamahizo nawapa hongera uongozi wa hivyo viwanja kuweza kuwa kwenyebiashara kwakipindichote hicho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...