JK akisaini kitabu cha Maombolezo katika ikulu ya Lusaka muda mfupi baada ya kuwasili nchini humo kuhudhuria Mazishi ya Rais Levy Mwanawasa.
Mama Salma Kikwete akimfariji Maureen Mwanawasa mke wa aliyekuwa Rais wa Zambia Marehemu Levy Mwanawasa katika ikulu ya Lusaka
Mama Salma Kikwete akimfariji Maureen Mwanawasa mke wa aliyekuwa Rais wa Zambia Marehemu Levy Mwanawasa katika ikulu ya Lusaka
JK na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji Maureen Mwanawasa mke wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Levy Mwanawasa huko ikulu ya Zambia.Rais Mwanawasa anazikwa leo mjini Lusaka. picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. RIP may the Lord grant the family patient and love in this trying period. It was Gods will and we are all headed in that direction.

    Mungu ampe pumziko la milele

    ReplyDelete
  2. Jk anaswali kikristo

    ReplyDelete
  3. JK nimtu poa sana hana ubaguzi ningekuwa na uwezo ningemfanya awe rais mpaka akiwa 70-75 is cool halafu tatizo la uchaguzi unakula hela nyingi sanaaaaaa its just useless wakati kama mtu tunaona anafanya vizuri kuna haja ya kumbadilisha kweli anyway let see the next session before kufanya judgement atujabwabwaja sana anaweza kuboronga ila namfuagilia sana kaka huyu.mungu nijalie nipate mume kama kiwete sitaki awe na jina au umaarufu wowote ule awe mtu wa kawaida ila upendo na heshima kwa kila mtu basi mimi nitakuwa tajiri wa roho katika maisha yangu mpaka kufa

    ReplyDelete
  4. annon hapo juu acha umbumbumbu na udini.JK hapo anatoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Levy-RIP,sio kama unavyofikiria weye.wabongo kwa ujinga tunaongoza ndo maana Mkapa aliamua kuwa mbabe bila hivyo mngemtukana sana.pum***&&^^%%^&&fffff.

    ReplyDelete
  5. RIP Mwanawasa.

    Sala zote zinaenda kwa Mwenyezi Mungu haijalishi unasali vipi. wewe Ano 1.57pm

    ReplyDelete
  6. MAJITU MENGINE BWANA SIJUI HUWA YANAWAZA NINI!!ETI JK ANASWALI KIKRISTO!!KWANI KUSALI SI KUSALI TUU,HILA TOFAUTI IKO WAPI??NYIE NDIO WALE WABAGUZI WA KIDINI...SALI JK UNAVYOPENDA ILIMRADI SALA YAKO INAFIKA ULIKOLENGA..MDAU NORWAY

    ReplyDelete
  7. Hata na mimi hii picha hapa imenishangaza, nilidhani JK ni muislamu sasa pale anasali kivipi? au ndio wneh you are in rome.... inasikitisha sana si bora angeinamisha kichwa tu kuonyesha huzuni zake, kuliko alivyofanya jambo linaonyesha kuwa anasali kikristo (kwa sie waislamu wenzake tunavyoona, kwani hatusali namna ile)

    ReplyDelete
  8. Maneno toka kwa Mugabe..."Mwanawasa was a very courageous leader. He was very frank and wanted to change not only his country but the entire Southern African region. We will greatly miss him,"

    ReplyDelete
  9. Mbeki said ....

    "We will remember his contributions to deepen democracy in the region . . . The son of Africa was committed to accelerating infrastructure development in the region," he said.

    ReplyDelete
  10. Measure your common sense by comparing what greater THINKERS said{:-:}

    Mr Kikwete said it was sad that Dr Mwanawasa had died because he played a key role in the development of Zambia and the whole region.

    Mr Guebuza said Africa had lost a great leader whose input would have helped move the continent forward.

    Mr Kibaki said Dr Mwanawasa's leadership would be greatly missed.

    Dr Mutharika said the late president was a dedicated leader who worked tirelessly to try and solve problems of the SADC region and preached unity among Africans.

    President Khama said Botswana and Zambia shared the same vision and it was unfortunate that Dr Mwanawasa had died.

    Mr Bukenya said Uganda and the whole Great Lakes region would miss Dr Mwanawasa for his ceaseless efforts in trying to resolve the conflict there.

    Mr Yano said Dr Mwanawasa greatly contributed to the success of the last TICAD summit in Japan and would be missed for his valuable contributions.

    Former Tanzanian president, Benjamin Mkapa said Dr Mwanawasa was a champion of democracy and would be sadly missed.

    ReplyDelete
  11. anonymous Tarehe September 03, 2008 6:09 PM
    measure your own common sense first because haiingii akilini ukimweka uncle ben kama greater thinker!

    ReplyDelete
  12. Kama issue ni uislam, mbona waslamu wakati mwingine wanapoomba huweka mikino namna hiyo hiyo, hapo ni kumuombea marehemu mema huko aendako si swala la dini hata mtu ambaye hana dini angefanya hivyo hivyo, sasa wewe ulitaka afanyaje? kwani hapo si kanisani wala msikitini!!!

    ReplyDelete
  13. watu wengine humu ndani msiwe mnawajibu jamani, ukishare na mjinga hukosi huwa mjinga nawe.Maana sioni logic ya JK kasali kikristo wala kasali kiislamu zote dini na when in Rome act as the Romans do.Ndo kukubalika huko si unaenda mahali unact weird kisa ndo ulivyozoea change to fit with the situation as long as unajua strength yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...