John Tyler Hammons ni kati ya ma-Meya wenye umri mdogo kabisa hapa nchini Marekani na ni kati ya ma-meya wenye umri mdogo wanaohudhuria mkutano unaoendelea kumuidhinisha mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Republican huko Minnesota.
Akiwa na umri wa miaka 19, Meya Hammons alishinda uchaguzi wa kiti hicho katika mji wa Muskogee, Oklahoma kwa asilimia 70 ya kura dhidi ya meya aliyewahi kushikilia kiti hicho kwa mihula mitatu na anajumuishwa katika kundi la viongozi hao wachanga lijumuishalo Mayor.
Hii yaweza kuwa changamoto kubwa kwa wanasiasa wachanga nyumbani na alama ya mabadiliko kwa wakongwe wasiopenda kung'atuka.
Ni CHANGAMOTO YETU sote kujua mabadiliko tuhitajiyo, watu watakaotuletea na kisha kuwachagua pasina kung'ang'ania kina fulani ambao wamekuwepo miaka nenda rudi bila mabadiliko.
Kwa habari zaidi juu ya John Tyler Hammons click
wiki/John_Tyler_Hammons
na kwa orodha ya ma-meya wenye umri mdogo kupata kushika nafasi hizo nchini marekani bofya
of_the_youngest_mayors_in_the_United_States
Hawa ndivyo walivyo Wa-shingo nyekundu. Kwa nini asijiongezee walao ka-elimu ka digrii ya kwanza kisha akaingia kwenye siasa!!!! Shingo nyekundu wavivu wa kufikiri na wabaguzi wakutupwa!!!!
ReplyDeleteNow You Tell Me that THAT Guy Does not Have Bright FUTURE..
ReplyDelete..Kalaghabao!
Wewe acha kukurupuka tu na kusema mambo...huyo kijana ni mdogo na kamsi kenyewe ni kama kasarah palin tu...Na pi huko kwenye mjini kwao ni kuwa sheria yao yeye ni mayor lakini mwenye kufanya mbo yote ni deput something ...yeye hayoko hata kwenye mambo ya badget wala nini na ndio maana waliopita before yeye walikua too old....
ReplyDeleteNi kama nchi iwe na rais lakini prime minister ndio awe na saying zote
The guy runs the city budget, schools district, the police force etc. This shows that ONLY IN AMERICA YOU CAN BE WHO YOU WANNA BE na wala sio bongo.
ReplyDeleteBakini na CCM yenu kwani sisi tunajichukulia uraia wetu kwa maslahi ya wanetu.
IDUMU BONGO NA CCM YENU MLIOCHOKA NA SISI HUKU TUNAENDELEZA LIBENEKE LA KUWAACHIA WENETU MAISHA YA KWELI