usipopata juisi ya muwa zenji hakyanani utakuwa hujavuka bahari...na siku hizi inapatikana pale bichi mbele ya africa house kwani kule forodhani kuna ujenzi unaendelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 48 mpaka sasa

  1. ha ha ha ha, Michuzi hivi ni kweli kwamba ujumbe unaotuletea unahusu juice ya miwa?? sijaona "reception" ya huyo mwanadada... ila from this side anaonekana ni zaidi ya juice ya muwa unayoisifia kwa jinsi alivyo umbika!!!!!

    ReplyDelete
  2. Michuzi kwa kupenda totoz hujambo, yaani unazuga umeshikilia ka mrija kumbe unapiga hesabu za konozzzzz. Haya bwana jipendelee tu.
    Apfle

    ReplyDelete
  3. mzee na wewe kifulana hicho kila siku hebu kibadilishe

    ReplyDelete
  4. Eh Mh Balozi, Kumbe ulikwenda na MTOTO wako?

    ReplyDelete
  5. Michu Mgongo huo mbona huuzungumzii???

    ReplyDelete
  6. kaka michuzi nani huyo mbona anaonekana yuko chini ya umri,angalia kaka tunakupenda usije kuishia keko ya zenji.

    ReplyDelete
  7. mugongo mugongo?

    ReplyDelete
  8. hahahah wewe Michuzi hujatulia kabisa, sasa ndio mambo gani ya kuwapiga watu picha za migongo. Au kwa sababu uko Zenji ndio ukaamua kubonyeza hiko kitufe cha kamera yako kizenji?

    ReplyDelete
  9. Haya Michu, naona umemficha sura. Hata hivyo anaonekana si haba ...... Waosha vinywa tupo ngangari.

    ReplyDelete
  10. onyesha bwana. mbona unamficha uso.

    ReplyDelete
  11. mmm najua juice yenyewe iyoo pembeni,tena inakuonyesha upande wa juice

    ReplyDelete
  12. Mh Sina Maongezi wino umekwisha kwenye keyboard Juice ya muwa na Juice ya..... James wa Arusha. angalia usije kurudi na ngalawa tu First class ikakushinda.

    ReplyDelete
  13. Sasa hapo juisi ya muwa ndio ipi? ... maana Michuzi Kiswahili chako wakati mwingine unakijua mwenyewe na wadau wako.

    ReplyDelete
  14. Hiyo fulanaz haipumziki au una ile dawa ya kupiga vita kikwapa? manake mpaka Dada yetu sijui wifi sijui Aunty kaamuwakugeuka fulanaaaaaaaaaaaaz.

    ReplyDelete
  15. mkuu wa wilaya ya nanihii mbona nyumba ndogo imetupa mgongo ingekeuka tusije baadae ukatupa lawama kwamba tumeingia kwenye anga zako..tujuwane au sio nasi tupo zanj tusijekudhani si nchi ni nchi kwa mtazamo tofauti

    ReplyDelete
  16. Heee!!! we michuzi.Mbona wife hana kazi ya kukurekebisha! baada ya kumuona huyo binti kapozi hapo nawe ukajisogeza hapo hapo!!!

    ReplyDelete
  17. Kaka Michuzi,
    mbona waziba sura nyingine. :)

    ReplyDelete
  18. JUICE YA MUWA AINA GANI MKUU WA WILAYA,ZANZIBA MIWA AINA NYINGI ZTI, NA UNYWAPO UNAKUWA UMEKAA MZUNGU WA NNE KAMA HIVYO, WADAU MKAO HUO WA MZEE WA FULANAZZZZ UMEKAAJE. HIYO PICHA MAKINI SANA.
    LAKINI MKUU ,UMBEA, NINI KIMEKUPELEKA HUKO ,UKAACHA UJIO MUHIMU WA HU JINTAO, AU NDO KAMA HIVYO?
    KILA LA KHERI, USIWE KA MJENGWA, NASIKIA HAKATIKI BAGAMOYO.

    ReplyDelete
  19. We Michuzi, Ze Fulana's ana kaka zake (doubles) au yuko mwenyewe..maana kama ni kauka ni kuvae..kuna kazi..!!
    Mdau-CA, USA

    ReplyDelete
  20. Miye nimehusudisha huo mgongo...mgongo mgongo wa kufunga mbereko ha ha ha ha acha utundu michuzi

    ReplyDelete
  21. Angalia sana Michuzi, Zanzibar kuna wimbo unasema "watoto muwa wee watoto muwa, wanyonywa ulala"

    ReplyDelete
  22. WANAUME NI WATU WA AJABU SANA KWASABABU HIYO PICHA UMEPIGA USIKU NA NINA UHAKIKA MKEO ANGEKUULIZA MDA HUO UPO WAPI UNGEMWAMBIA NIPO KWENYE KIKAO. KWA HUO MDA HAKUNA MSICHANA MWENYE UJANJA WA KUKAA ENEO KAMA HILO NA MTU ASIYE NA UHUSIANO NAYE, SITAKI KUAMINI KWAMBA ULIMUACHA AENDE ZAKE HUYO BINT MAANA ANAONYESHA ANA RADHA NZURI KWA WAKORA.

    COPY.-MAMA MICHUZI
    -OFISINI KWAKO

    ReplyDelete
  23. Tena mlivyokaa inaonekana huyo dada ulmkuta kakaa na wewe ukajibanza pembeni yake, juice ya miwa mpaka ukakae hapo kwenye kibenchi?

    ReplyDelete
  24. Balozi wa Zain,nimekukubali.

    ReplyDelete
  25. Ukirudi jiandae na dozi ya typhoid

    ReplyDelete
  26. Mamaa weeeee, ebu wadau pitisha macho kati ya muwa wa Michuzi na kichwa chake mtaona kuna jamaa naye kwa staili ya aina yake kakaa na wifi kwenye kakichaka, hapa kweli hizi juice za miwa zilipona. Michuzi shauri yako maana my wife wako akiona taswira hiyo hataamini kama ilikuwa juice ya muwa inanywewe bali kulikuwa na jingine pamoja na yule jamaa yko wa ng' ambo kichakani

    ReplyDelete
  27. Michuzi wewe ni babkubwa!!! stress zote zimetoka baada ya kuona na kusoma toka kwa waosha vinywa wenzangu.
    Ama kweli burudani si lazima uende Ngwasuma hata hapa kwenye 'globu' yetu ya jamii ipo tena kushinda nanihiiii

    ReplyDelete
  28. Mheshimiwa Balozi wewe fundi sana, angalia umetia mrija ndani ya glass huku unasikilizia utamu kwa mbaaali

    ReplyDelete
  29. kwa mbele yake hapo ndo kwa muuza juice kwahio mteja yeyote anakaa ktk kibenchi sio mbaya kuka jirani na mtu usije mjua ati kwani si ndo mwanzo wa kujuana eboooo hiyo juice ya miwa imenikumbusha mambo ya tanga mkuu na soda ya Anjari na Heltho mambo ya mwambaoz na toto kama hizo hakulaliki

    ReplyDelete
  30. MMMHHHH????????
    HATA MIE NAONA MUHESHIMIWA.

    ReplyDelete
  31. MMMHHHH????????
    HATA MIE NAONA MUHESHIMIWA.

    ReplyDelete
  32. MMMHHHH????????
    HATA MIE NAONA MUHESHIMIWA.

    ReplyDelete
  33. aa-salaleeeee!!!yalabi toba michuuu ze "mrija wa juice ya muwa" hahaahaaa dah
    yan leo stress zimeisha hahahaha
    tena iyo nayoiona apo usoni kwako ni nini?TABASAMU AU,LA NINI??AFU VIPI TENA IYO MIGUU KUIKUNJA IVO?hahahaaa teh teh teh
    michu utulivu F,mkuu kweli wee mwisho
    dah

    ReplyDelete
  34. mbona kuna nafasi apo pembezoni mwa mamaa katika benchi??mbona mebanana ivo,ze mikonozzzz nini?
    annon apo juu yan pamoja na amoeba eshapata

    ReplyDelete
  35. kaka mithupu si utudokezee huyo hapo kwenye benchi ni nani unaefaidi nae juice ya miwa? tunahamu ya kumjua kabla mama mithupu hajacharuka.

    dadako.

    ReplyDelete
  36. MY GOOOOD!!!!! ZE MRIJA, ZE JUICE, ZE KONOZI AU ZE MGONGOMGONGO????????????
    ANYWAY NDO MAMBO YA ZENJI KA YA LAMU VILE,, BUT WAIT!!! WE SI FATAKI KWELIII, IS SHE NOT UNDER AGE????????? POTELEA MBALI UCIKU AFAMYA NINI MITAANI JILIE TU USIKOMBE MBOGA MITHUPU......
    MDAU BONGO.

    ReplyDelete
  37. tatizo lenu nyinyi watu humu ndani sio wanywaji wa juice ya miwa
    ukienda kununua juice kuna benchi na unakaa popote pale unapotaka na unageukia popote pale, sasa michuzi hamjui huyo aliyokaa na wala hataki mazungumzo nae ndio maana amengalia kwingine. kama mtu hataki mazungumzo na mtu haina maana akae mbali nae....

    hiyo ndio tafsiri yangu ya picha hii
    mtajiju msio kubaliana nami

    ReplyDelete
  38. Bro Michuzi sio kwamba tunakuonea ama tunataka kusambaratisha ndoa. Kinacholeta utata ni huo ukaaji katika hiyo picha. Nikiangalia upande wa kushoto wa huyo kuna nafasi kubwa sana ya kukaa. Iweje wewe uje kujibana hapo pembeni mpaka unataka kuanguka? ....oohoooo! samahani,kumbe huyo dada ni yule mpiga picha mwenzio wa gazeti la nanihii.....Samahani mama Michuzi kwa kukupandisha presha,nilikuwa sijamuangalia vizuri huyo dada maana ametupa mgongo.

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  39. mbona hujibu maswali huyo pembeni ni nani? mi nasubiri ageuke....

    ReplyDelete
  40. sasa michuzi! hii juice ya miwa? huyo mshirika mwingine mbona katutupia mgongo au kisogo? au ndio mambo ya Zenji!

    ReplyDelete
  41. Mona yule mtoto wa waziri Wasira alipovaa ovyo kama wewe kwenye picha hii watu walimpiga na vijembe?

    ReplyDelete
  42. MUGONGO MUGONGO STYLE........

    ReplyDelete
  43. Palepale kwa jana!!

    ReplyDelete
  44. Ukishindwa kulipia hiyo juice ya muwa watakuzungusha nyuma halafu utapara miwa weee hadi pesa yao sawasawa na kiasi cha juice uliyokunywa imerudi

    ReplyDelete
  45. Kaka inaonekana uliimba mashairi ya busara hadi sauti ikakwama ukaamua kuifufua kwa maji ya miwa. Nakubali mtoto kaumbika kama akikataa mwambie wewe ni Mkuu wa wilaya ya nani hiii na Balozi wa Zain akisikia hivyo tu atakubali si unajua wasichana wa kibongo watafikiri wewe ni Pedeshee kumbe duh.

    ReplyDelete
  46. MBONA KAMA MICHUZI ANA HIPS AU MACHO YANGU?ALAFU KAMA VILE ANAMTOGOZA DADA HAPO NAYE ANAMLETEA POZI.HAHAHAHAH

    ReplyDelete
  47. naomba mnitoe changa la macho mademu waitwa juice ya muwa siku izi? namaliza kamusi sipati kusudio la picha!! kama mambo yas taswira basi hii ni ya mwaka juu inasomeka mara 70 duh!!! hoi

    ReplyDelete
  48. mithupu... haki elimuuu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...