Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. His Excellency "King" Museveni....long live African democracy!

    ReplyDelete
  2. hii sio democracy au african democracy...the term ni governance or administration of power - the african style.

    mtoto

    ReplyDelete
  3. Hayo ndiyo madhara ya kukaa sana madarakani na kuzeekea kwenye kiti cha uraisi...Mugabe na Museveni waachieni watu wengine waendeleze nchi zenu...toka enzi za Nyerere akiwa raisi hawa jamaa walikuwa madarakani!! Sisi tumebadilisha maraisi mara tatu hawa jamaa bado wako madarakani!! matokeo yake wanalewa madaraka na kuanza kuteua wake zao kuwa mawaziri, watoto kuwa manaibu waziri...wakwe kuwa magavana wa benki...Hivi kwani hakuna watu wengine?

    ReplyDelete
  4. Sishangai tabia za "Ubinafsi uliotukuka" kwani kuna baadhi ya wanasiasa hapa nchini wanamuelekeo huo huo wa kuweka ukoo madarakani.

    ReplyDelete
  5. This is called nepotism, very common where 'rulers' are unsure of themselves for various reasons.

    Under such circumstances, it is not hard to harbour the feeling that Mr Mu7 is grooming a future leader amongst his kith and kin.

    And the typical profile of 'rulers' who do that are those who are despotic...or have done so much damage and harm that they fear retribution, real or perceived, once out of office.

    If at all Mr Mu7 fits that profile, I may never come to know for certain. But he is certain to leave behind an unpopular legacy with such 'modus operandi'.

    Suluja Lindani

    ReplyDelete
  6. Mbona hata kikwete ni hivyohivyo nina orodha ya watu kibao madarakani lakini siwezi kuweka hapa kwani michuzi hatoweka kutokana na vitabia vyake vya kuogopa hata vitu vya kawaida. Naupenda mchango wa waziri Ghasia

    ReplyDelete
  7. ata bongo mboni iko hivi!!

    wako mashemeji,ndugu wa pwani,wakwe,watoto kibao nk

    na kweli michuzi hatapost tukiweka uku bloguni yeye ni serekali damu na JK

    ushenzi tu

    ReplyDelete
  8. Nyie watu mnaosema Michuzi hatapost list zenu ni wanafiki...jaribuni kutuma hizo list tuine kama mnaweza kuzi-prove:
    Mtaanza oooh...Mizengo kaoa binamu wa mke wa jk au ooooh Mkuu wa majeshi ni shemeji ya waziri wa ulinzi...undugu wa kuunganisha na super glue!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...