al ahly ya misri wakiwasili dar tayari kwa mpambano wao na yanga jumamosi. inasemekana wameikacha hoteli waliyopangiwa na wenyeji wao ya durban iliyo kariakoo na kuamua kujilipia wenyewe hoteli ya movenopick ambapo walikuwa wamefanya buking wiki moja hata kabla yanga hawajaenda cairo na kubugia 3-0.
kikosi cha yanga kilipokuwa cairo kabla ya kupambana na al ahly. jumamosi inabidi wapige bao si chini ya nne mtungi waweze kusonga mbele.
kikosi cha yanga kilipokuwa cairo kabla ya kupambana na al ahly. jumamosi inabidi wapige bao si chini ya nne mtungi waweze kusonga mbele.
TUSIPOTEZE MUDA KUTAFAKARI JAMBO AMBALO NI WAZI (OBVIOUS), YANGA JIANDAENI KWA KIPIGO, FULL STOP.
ReplyDeleteWe anony wa kwanza unaota au?? nina uhakika tutaweza katika yeye atutiaye Nguvu. Amen
ReplyDeleteGo yanga go wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini??
Yote yawezekana bwana
Willy udsm hapa
Kwa kujipa moyo, sawa twende uwanjani, lakini wenzetu hawa wanapokuwa uwanjani wanajituma sio mchezo, sasa na kwanini na sie tusifanye hivyo?
ReplyDeleteM3
Kwa hiyo jersey tu tayari waarabu wamepata washabiki na Yanga wamepigwa mbili.
ReplyDeleteJamaa wamekuja kukamilisha karamu. Namaanisha watatumbukiza vingine viwili na hadithi inaishia hapo.
ReplyDeleteYani kwa akili na mpira wenu wa kiwango cha chini mnategemea Yanga ishinde zaidi ya 4-0? Ebu amkeni.
ReplyDeleteiwe isiwe wamisry wanacheza mpira
ReplyDeleteANON WA KWANZA MI NAKUUNGA MKONO. SIKJUI HUNIJUI...LAKINI HAPO HUO UZI WA(TRACKSUIT) JAMAA WA JANGWANI TAYARI WANAJINYEA WANAJUA KAMA WANACHEZA NA KUNYASI.
ReplyDeleteNAMUONA HUYO MUUAJI WAO MUANGOLA AKIONGOZA MSAFARA. SIJUI YULE MUUAJI MWINGINE MOH'D ABOUTRIKA YUPO WAPI HAPO MAANA MICHUZI HATA HAJUI MAJINA YA HAO JAMAA.
KOCHA WA YANGA AMENENA, YANGA IKATAFUTE BAMIA NA UGALI WA MUHOGO WALE WALALE. HII LIGI SIYO YA KUONGA MAREFA KAMA VILE MNAVYOHONGA WAAMUZI NJAA HUKO BONGO. KAENI SAWA TUTASIKIA VILIO J' MOSI.
WAZEE WA LUNYASI MENO YOTE 32 AU 23 KWA WENYE MAGEGO YAPO NJE...TEHETEEHETEEEEEEE WEEEE AL AHLY, ZAMALEK, KIBOKO YAO SIMBA. YANGA HATA WAWE 14 KWA WAO 11, WATALALA TU.
Kiranga inawezekana yanga ikashinda: Mnyama aliwahi kuchapwa 4-0 nyumbani akaenda kurudisha 5-0 ugenini! Ushasahau?
ReplyDeleteYANGA WAANGALIE SANA WASIFUNGWE GOLI DAKIKA YA KWANZA. MBINU HIYO WAARABU WAMEITUMIA MARA NYINGI NA WAMEFANIKIWA.
ReplyDeletePyeeeeee dakika 90 ndio mwamuzi.
ReplyDeleteNA HAPA NDIPO WAWEZA ONA TOFAUTI BAINA YA TAIFA KUBWA-SSC-NA HAWA KANDAMBILI YANGA. MBINU ZAO HAWA JAMAA WAJANGWANI NI ZA KITOOOOTO KABISA, NA NI RAHISI MNO KUZIG'AMUA!!
ReplyDeleteTIMU KUBWA KAMA HII AL AHLY MKAIPANGIE HOTELI KARIAKOO!! KULALADEKI!! NYIE YANGA WASHAMBA KWELI NYIE, MNALITIA AIBU TAIFA ZIMA.
HIVI MNAKUWAGA MNASHAURIWA NA NANI?
HAMJUI KUWA KTK ULIMWENGU WA SASA KILA TUKIO LINAWEKEWA KUMBUKUMBU
MNADHANI MKSHAWAPIGA NA MBU WA KARIAKOO NA VUMBI NDIO WAARABU MTAWAFUNGA?
HESABU ZA YANGA ZA KITOTO KABISA.
CHKUENI USHAURI HUU WA BURE: MWAKANI MKIINGIA TENA KOMBE LA AFRIKA FIKENI MSIMBAZI MCHANGIWE MAWAZO, WENZENU SSC NI KIBOKO CHA MATAIFA MAKUBWA, NDIO WANAWEZA KUFIKA MBALI.
MAKOMBE YA KIMATAIFA SI SAWA NA LIGI YA HUKO BONGO, YA KUHOGA HONGA. INABIDI MJIANDAE KIKWELI KWELI KUWAONDOA WAMANGA. PATENI MIKOBA SIMBA SPOSI.
Mndengereko, Ukerewe
Timu world class unaipa hotel Kariakoo unadhani wataenda kukaa hapo?
ReplyDeleteMabwege nini?