www.nathankatuni.wordpress.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mithupu!

    Inakuwaje katuni ya Masoud Kipanya unatuwekea website ya Nathani chini yake?

    ReplyDelete
  2. Kweli bwana.. na kuna watu wanakaa ni kushabikia tu badala ya kufanya kazi. Mimi jana kuna watu wamenishangaza sana huko Bongo. Hata nilishasahau 'eti' ni sikukuu. Unafanya biashara na watu vizuri wanasema eti ni sikukuu kwa hiyo blah blah.Tuzinduke!! Mimi nipo nchi moja ya Ulaya na nina-interract na wenyeji kwa sana sijaona dalili ya "sikukuu ya wajinga" none in the work environment nor at home.

    ReplyDelete
  3. Kasumba ni mbaya sana, hasa kwa sisi walalahoi. Kwa kujipendekeza ili uonekane utafanya vitu vya ajabu hata yule aliyekianzisha akashangaa, `hii vipi tena'
    Jamani kwani kila kitu mpaka tuige, tujiulize siku hii ina umuhimu gani kwetu, je ukimdanganya mtu utakuwa umefaidika nini? Jaribu kufikiria kama wewe ungefanyiwa hivyo ingekuwaje, kwani wengine matani yao yanavuka mpaka, kiasi cha kumuumiza mtu mwingine.
    Ipo siku wenzetu wataanzisha kutembea uchi na sisi tutaiga.
    M3

    ReplyDelete
  4. Ni kweli kabisa bwana kipanya,watanzania tumezidi kuiga mambo kupita kiasi, hata kama ni siku ya wajinga lakini kwa nini uongepe jambo kubwa na zito kiasi hicho?
    Kujisingizia fulani kafa ama watu wamezama mahari na kuwatia watu presha ni ujinga sana. tuacha mambo ya kuiga kila jambo, angalia valentine day watu wanavyofanya ngono kama chakula. ni siku ya watu kusariti ndoa zao eti kwa kisingizio cha valentine. NI ijinga mtupu na upuuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...