leo ilikuwa siku ya mikonozzz baada ya kupata fulanazzz mpya. hapa nanihii akiwa na wadau wakuu wa kundi la Wahapahapa pamoja na che mundugwao (kulia) coco beach
kila kona ilikuwa ni mikonozzz na fulanazzz tu

nanihii akiwa na lady jey dee na mai hazbendi wake keptein gadna G. habash
nanihii na wadau wa kipindi moto cha asubuhi cha clouds 88.4 fm cha power breakfast. shoto ni barbra hassan na kulia ni gerald hando 'shwazeneger'
nanihii akiwa na salama jabir ambaye yupo vekesheni akitokea cardiff ambako anakula nondozzz
hapa nanihii akiwa na wadau wa ughaibuni
salama jabir akiwa na mzee wa njia panda sebastian ndege (shoto) na gerald hando katika ukumbi wa thai restaurant ambako siku za jumapili utakutana na nani ni nani jijini







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2009

    Captain G huwa mi simuelewi akipiga picha na wife huwa anakaa mbali na kununa juu.lakini akiwa anapata shop na vicheche yaaani kucheka mpaka jino la mwisho na kuwahug juu.
    mpende mkeo na one way to show ni kuwa proud nae

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2009

    Kaka Michuzi eeh, Recho sio mdau wa ughaibuni tena, ni mdau wa bongo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2009

    oh yeah Chidumule. Wow hawa watu wanatakiwa wawe kwenye hall of fame, museum, post mpya walk of star or somthing like that. Nikiwa mdogo huyu utasikia nyimbo anataja jila lake chidumulle. Love the guy

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2009

    kaka michu, naona unga huo unakolea kichwani, wapi pico kaka

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 08, 2009

    Mmmmmh ndio tuelewe Michuzi peke yake ndio anapenda kucheka au vipi? Mbona kaka Gadna amenuna sana utafikiri sanamu limeegeshwa??? Hata smile kidogo jamani. Ukiwa na mkeo onyesha furaha kidogo japo.

    Tatizo la wabongo wakiwa na matatizo hata ya familia wanapenda kuyaonyesha kwa watu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2009

    kheeeeeeeee
    kumbe ndo nyie power-breakfast

    ok

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 08, 2009

    Duuuuh Kumbe ndiye Babra....... Mhhh Ckujua uko ivo....

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 08, 2009

    Bitchuka www.youtube.com/ milimani park orchestra - mseto wahapahapa video, a must see master class video from the legend Hassan Bitchuka, Shabaan dede & co, bravo Wahapahapa production.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 08, 2009

    Mbona huyu nanihii wa Columbus na nanihii wa UK wanaendaga likizo Dar wakati mmoja? Nime-note hii kitu, naombeni jibu kama mnajua.

    Salama uko juuuuuuuuuuuuu, aminia masela wangu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 08, 2009

    Balozi,
    Huyu Che Mundugwao vipi siku hizi simsikii ktk anga za muziki au ala za muziki kazitundika ukutani?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 08, 2009

    Duuuuh Kumbe ndiye Babra....... Mhhh Ckujua uko ivo....


    Ulidhani yukoje? Kipotable ama?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 08, 2009

    Kumbe mnaomtaka Gadna mko wengi? poleni he is taken hi hiiii. hilo ndio pozi lake

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 08, 2009

    Duuh yaani hata mimi sikujua Barbra yuko hivyo sauti yake ni contrary na yeye alivyo miss bantu.Nilikuwa napata picha ya ka-model fulani ka kiarabu hivi juu ya hilo jina.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 08, 2009

    dah nimekimiss kweli kipindi cha njiapanda nilikua sikosi kila j2 .

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 08, 2009

    angalau leo ume-mikonozzz wanaume wezio japo khaaaa
    maana uliaza kuntisha mie na kinadadazzz mikonozzz

    hahahaaaa

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 08, 2009

    sebastian ndege
    eti wee ulisomeaga kidogo udaktari pale MUCHS???

    ni hayo tu kaka

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 08, 2009

    Kwa Wadau siriazi, legezeni kamba:

    *Mgonjwa*: Daktari naumwa sana na moyo na najisikia kufa kufa tu.

    *Daktari*: Wewe ni mpenzi wa timu gani ya mpira wa miguu?

    *Mgonjwa*: Kwa Tanzania mimi ni shabiki wa Simba na Ulaya mimi ni mpenzi wa Liverpool

    *Daktari*: Na unafanya kazi wapi?

    *Mgonjwa*: Nilikuwa nafanya GTV, baada ya kufa nikapata kazi Paradise Hotel Bagamoyo.

    *Daktari*: Una akiba yoyote ya fedha benki?

    *Mgonjwa*: Ndiyo, akiba yangu yote ya fedha ipo DECI.

    *Daktari*: Mmmh, unaishi wapi?

    *Mgonjwa*: Naishi mbagala karibu na kambi ya jeshi

    *Daktari*: Subiri kufa maana hakuna tiba mbadala ya maradhi yako.

    Mdau
    Miyeyusho

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 08, 2009

    huyo barbara mbona kakaa kimbagala sana utadhani kakoswa na bomu. Kweli huku kwetu media hazichagui

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 08, 2009

    Tunaomba utuonyeshe picha za mikonnnoooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz na Loveness Love (Diva)wa Ala za Roho

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 08, 2009

    Mh kumbe ndio hao wa breakfast!!! Jamani tusemeni ukweli Sauti za watu unavyozisikia na watu ukiwaona ni sawa na -ve na +ve ukiziweka pamoja.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 08, 2009

    Duh hapo wa miwani meusi!!! Kaka Michuzi tuambie na wewe sikuizi umeanza kutembea na Bouncer???? Hakuna mchezo hapo ngoma imeshiba.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 09, 2009

    Huyu Barbara nili piga picha ni demu fulani mwembamba, halafu mweupe .

    Huyu JP na ye kazidi uboshoo kila s iku anataka kujulikana katoka USA, hawa watu wanao enda USA wakiwa watu wazima wana matatizo sana. sijui angeenda baada ya kumaliza High school na dhani asinge jishebedua hivyo.


    Na wewe mbeya uliye sema eti JP na huyo sijui Model sijui ,machozi video ,sijui Gonga Wear , eti wanakuja pamoja Bongo una lako jambo ..lol.

    Rachel nilikuoan kwenye Kilimanjaro Music Awards nilikuona mzuri , mana ume coppy mademu wa kiulaya wanavyo tembea nilikuzimia sana.

    Hii familia ya Habash ina matatizo, hebua ngalia hapo, Gardner kanuna , halafu ukicheki Body language unaona huyo Lady JD kamuegemea zaidi Michuzi, hii ndoa ina tatizo lazima .potelea mbali lady JD ukiniimba eti nakuuliza utaachika lini, ila ukweni ni huo lazima mko kwenye crisis!.Angalai wenzenu Rachel na huyu JP , wameeegemeana hapo lazima kuna kitu kinaendelea .

    jamani tunaomba picha ya LOveness Love, ila kama halipi naomba usimweke ni bora tubaki na imagination kuliko kumuona maana ile sauti usiku inatukata maini na kutupandisha mzuka huku tukiimagine demu alivyo , sasakama sio kama tunavyo dhani michuzi please usiweke picha yake maana utatuharibia some lonely nights zetu .

    Mimi nadhani Loveness Love ni demu mmoja mwembamba mrefu na ana nywele ndefu ,maji ya kunde na ana macho ya kuvutia na uso wake ni mwembamba kama wa Kitusi. sijui nimepatia?

    Pia Michuzi , ningependa kumjua yule mtangazaji wa sijui redio Moja ya Mwanza , jamaa huwa ananiacha hoi , maan huw ana fake American accent mbaka kupitiliza , ukisikiliza news akisoma una weza usielewe neno maan kila kitu ana weka "R" , yani ile kimarekani kipitiliza, mafano neno "Africa" yeye ana sema "Africare" mbaka ana bore kinoma please tupe picha yake.

    Pia kuna Mwingine yuko East Africa FM , yeye huwa anatangaza Michezo, yani huyo ana fake British Accent ,Mungu wangu ukimsikiliza ana sound kama a drag queen, yani utadhani Rupaul in a fake british accent anatangaza , pleease naomba pia picha yake.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 09, 2009

    hahahahahaaaa kwi kwi kwi

    heeeeeee tobaaaa navunjika mbavu
    jaman kuna annons umu ndani wana-visa vya kufa mtu

    sasa annon 6.10 AM-umenifanya ofisi zima waniulize kulikon???

    dah watu mna imagination kali kishenzi,ila uyo jamaa na accent yake ya kimarekani ata me nshawai jiuliza ANAFAFANAJE???

    asante

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 09, 2009

    jump around nimekukumbuka sana !! enzi za UDSM.. heheh thm were the days.. DR Seba naona umeamua kufa na Man U umeweka msisitizo
    anon unayeongelea fake accent, i think this problem is not only in the media but also around us... as in everywhere, i am so tired of those who are faking it, why fake it? flaunt it, say it like it is...aagh i have done my share of interviews and i get so sick i can spit on them accents..girls be real because girls like faking it, when you fake it, we can smell its fake 1km from where you are.. being real and true to yourself and being is the only way to emancipate yourself from mental colonialism...if the society has seen it fit to feed your big ego with fake products dont slaunter them to real people.. practise them to your fake being... nuff said !

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 09, 2009

    Annon 9:30 am

    Hehehehehhe natumaii unakubaliana na mimi ile American accent imezdi kupita kiasi mbaka ina bore maana ana zidisha sana,halafu akisoma news ndio kabisa ana haribu kupitiliza.

    Huyu Mtangazaji na hisi ni atakuwa biracial .

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 10, 2009

    KAKA MICHUZI NILIKUA NAOMBA USIKILIZE KILIO CHETU SISI WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WA KITANZANIA TUNAOSOMA NCHI ALGERIA.

    KUMBE UFISADI HUANZIA MASHULENI NA SIO MAOFISINI.ALIEKUA KIONGOZI WA WANAFUNZI AMEKULA POSHO YETU AMBAYO TUNATAKIWA TUPATE KILA MWAKA!!
    AMECHUKUA POSHO YETU YOTE YA MWAKA NA KUTUACHA HATUNA PAKUKIMBILIA,HATUNA PAKUSHITAKI MAANA TUMESHAFIKISHA HII ISSUE UBALOZINI UFARANSA,WIZARANI LAKINI INAPATA MWEZI SASA HAKUNA HATUA YOYOTE ILIYOCHUKULIWA.
    INASEMEKANA HUYU JAMAA ANAMTANDAO AMBAO UNAMLINDA HUKO BODI NA WIZARANI NA NDIO MAANA AMEWEZA KUINGIA MITINI NA MAMILIONI YA WANAFUNZI.
    KAKA MICHUZI KAMA NA WEWE NI MZALENDO WA KWELI UNAEPINGA UFISADI USIJE UMIZA WATOTO WAKO NA WATANZANIA TUNAOMBA UIWEKE HII SCANDAL PEJI ZAKO ZA MBELE KABISA ILI MHESHIMIWA RAISI WA TANZANIA ASIKIE KILIO CHETU,TUNAJUA MHESHIMIWA ANASOMA HUU MTANDAO,HATUNA WAKUTUSAIDIA JAMAA ANATANUA NA MAMILIONI YETU MTAANI NA WAPAMBE WAKE WANATUTOLEA NYODO.
    HII SCANDAL IMESABABISHA TUWATOE MADARAKANI YEYE NA MAKAMO WAKE BI ADELAID.
    HUYU JAMAA ANAITWA RUGE.
    CHONDECHONDE KAKA MICHUZI TUSAIDIE IKIWEZEKANA ITUME KWENYE MITANDAO MINGINE NA MAGAZETI.
    TUTAZIDI KUA NA IMANI NAWE UKITUSAIDIA.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 10, 2009

    teh teh teh

    annon 11.00pm

    ni kweli,me siku ya kwanza nkasema adi silali nisikie mwisho wake avotangaza labda ni mwanzo tu ataacha,kumbe duh ndo mtindo wake hahahahaaa,afu adi akiongea kiswahili anaweka ivoivo,yan niko mwz adi ntamtafuta,afu ntampiga PICHA kisiri naitundika umu blogun.

    nimeacha kabisa kusikiliza ile kipindi siku ya pili yake tu,soooo boring soooo fake,utumwa ule!

    hahaaaaa

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 10, 2009

    na wewe denti njaa wa ALGERIA nini?

    ebu tupishe umu,kila sehemu unabandika irrelevant news yako bwana??ebu nenda kalie uko,apa hatuna msaada OKKKK!!

    hakuna pesa ya sirikali inayoshuka kirahiisi ivo,nimekujib tu kupunguza ukali wa wabeba box wanaporudi toka boxes zao...

    beba box kwisha kazi,

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 11, 2009

    Jambo kwenu,
    ninavyokumbuka mimi nanihii ni mtu wa kucheka/smile kwa kwenda mbele hata kama yuko peke yake, that is y huwa unajihisi unamfahamu tangu ukiwa cheichei!! keep it up Nanihii.

    hey Salama study hard kisha personaly nakumis BSS, kifoundation haiko alive - gap inaonekana live. dont change your signature(kucritisize where it belongs)
    SMILE IS LIFE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...