kiongozi wa kundi la Wahapahapa Paul Ndunguru aki-rap wakati mashabiki wakiwa wamevamia jukwa leo katika shoo kabambe ilofanyika coco beach, dar
coco beach palikuwa hapatoshi katika shoo ya wahapahapa

bob zungu akiwajibika na wahapahapa
mdau teddy mubaraka na mwenzie wakifanya vitu vyao coco beach leo
carola kinasha na kundi lake la shada walipagawisha vilivyo pia
umati uliohudhuria shoo ya wahapahapa coco beach leo. kampuni ya intergrated ndio iliyoandaa majukwaa pamoja na mambo mengine ya shoo hiii iliyofana sana

umati coco beach leo







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2009

    Bongo tambarare.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2009

    Balozi, ule mtundiko wa video ya Milimani Park Orchestra - Mseto Wahapahapa video, hutaki tuufaidi ktk bulogu ya jamii?

    hebu nenda www.YOUTUBE.com / milimani park orchestra - mseto wahapahapa video, wabeba box nasi tufaidi kwa kutumia teknohama maana makaratasi yetu hayaturuhusu kupanda ndege tuje CocoBeach.

    Mbeba Box Mwandamizi
    USA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2009

    wa hapahapa wanatisha, wako juuuu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2009

    Bongo tambarare, what u mean?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 08, 2009

    Bob Zungu si mchezo, kweli anakubalika kwenye fani.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2009

    Mahana yake BONGO hakuna visiki(vichuguu) vya kuwazuia watu kuburudika,Sio kama kwa wenzetu wanapo beba box.
    I`m just think.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2009

    paul hongera sana,nakumbuka kule tuliko toka,keep up a good job.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...