Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ebwana eeh powa sana tupo hapa hapa cape lakini sifahamu ujio huu habari za hapa tunazisomea ktk web za bongo Tangaza sana vinginevo hutapata watu tena mie ninakuepo hapo 4wayz most of time Patrick owner he is ma best ok good luck may be wapopo watalipa

    ReplyDelete
  2. MPAKA LINI MTAJUA KUWEKA BENDERA YENU VIZURI? Inasikitisha sana kwa kweli!!!!

    ReplyDelete
  3. mwanafaa big up man..music na shule mazeee..ila mazeee nimekukubali maana kila nikisoma hii blog nasikia upo another kiwanja unakamua..UK,US states zote sasa South Africa,Cape Town..BIG UP BOY...ila kwa msaada wa wengine tulioko bongo mzee tupe connection nasi tukasome hicho chuo chako maana yaonyesha elimu yake sio taiti sana afu ni mpeto..mi nikifika huko ntapiga mzigo yaani namake sure namaliza shule narudi na mahela kibao....kwani si nakucheki mwana unavyotanua....Elimu ya UK kumbe simple sana mazeeeee..afu master ni miezi 6 du ,nipe link mwana naitaka hiyo ngoma...

    ReplyDelete
  4. HEHE WE ANON UNAELALAMA KUH BENDERA HUONI KAMA UPEPO MKALI SANA HAPO SAUZ NDO SABABU IMEPEPEA IMEKAA UPANDE MWENGINE KWIKWIKWI

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...