sehemu ya shule ya chekechea na msingi ya Tusiime iliyoko Tabata jijini dar ikiwa na wanafunzi takriban 510 ambao ni pamoja na 90 wa bweni. wikiendi hii shule ilikuwa na siku ya wazazi ambapo michezo na utamaduni vilioneshwa na wanafunzi hao. pia kulkikuwa na mahafali ya wanafunzi waliomaliza chekechea na darasa la saba, kabla ya wazazi kukabidhiwa ripoti na kuwaruhusu kwenda likizo ndefu ya funga mwaka
wahitimu wa chekechea wakila tunondozzz twao
wahitimu wa chekechea wakisubiri tunondozzzz
wahitimu wa darasa la saba shuleni hapo
baadhi ya wadau ambao ni wazazi waliohudhuria

anko naye alikuwepo na hakusita kupozi na kijana wetu ali hassan (kulia) na binamu zake passian (shoto) na mujuni .
Tovuti ya Tusiime

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Michuzi, hawa jamaa wamekosea namba zao za simu. wameweka 011-255, wakimaanisha/kudhani mpigaji atakuwa yupo North America, USA, Canada, Bermuda na Antigua au Australia walio na prefix ya 011. Nchi nyingi duniani leo wanatumia 00, na chache zina namba zao kama Japan, Singapo etc. kwa hiyo washauri watumia +, inayomanaanihs a'unspecified' number of digits for a internal prefix code. Soma zaidi:
    http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_international_call_prefixes

    Mdau UK

    ReplyDelete
  2. KIJANA WETU, YAANI MWANETU? BONGO SI SIRI NI TAMBARARE. MAMBO YAKO SWAFI.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Tusiime kwa mafanikio yaliyopatikana, inatutia moyo wengi tulioko nje kuona kwamba kuwa kuna Watanzania ambao wamewekeza kwenye elimu na mafanikio yake yanaonekana kwa kuhitimisha vijana wetu.......!!!

    Hongera sana Mr & Mrs Katagira keep it up

    ReplyDelete
  4. Brekingi nyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!

    Taifa stars yapigwa bao mbili yaiiiiiii, hii taarifa kutoka kachumbali blog!!!!!

    ReplyDelete
  5. Hongera kwa Tusiime Management, Staff, Students and other stakeholders for making Tusiime stand the way it is..................Keep it up!!!!

    Let us make our Tusiime be a Trend Setter and others Follows

    Baba Mitu in Cardiff, UK

    ReplyDelete
  6. Shule na website imetulia sana lakini hawajaweka Tuition and boarding fees tukaona . Wengi tuna watoto na ningependa wajue culture yangu so kusoma Tz kama miaka miwili ni muhimu sana.

    ReplyDelete
  7. Hii ni charter school au ni private school. Nilikua na soma get involved page wanonyesha kama vile wanahitaji donation so and so... I am just curious....

    ReplyDelete
  8. HONGERA MICHU! MWANAO KAKUA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...