Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika katika mji wa Visiwani wilayani Same mkoani Kilimanjaro, ikiwa ni mfululizo wa mikutano yake ya Operesheni Sangara jana.
Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akihutibia katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Sangara katika viwanja vya Kwasakwasa mjini Same mkoani Kilimanjaro. Picha na mdau Joseph Senga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Zungukeni tu na hilo tuku tuku lenu, ikifika wakati wa uchaguzi mnahesabu maumivu. Si kila anayecheka anafuraha

    ReplyDelete
  2. mbona watoto watupu,alafu eti hapo wanamchafua kilango kisa amefanya kampeni moshi mjini,yani ukimsema ndesamburo lazima aje jimboni kwako kulipiza,coz ndo mwenye helikopta,chadema mnazidi kufilisika kisiasa,angalieni msije mkaishia kama tlp,chama bila mshahara hakiwezi kufika mbali,ndo maana cuf wamewapiga bao kwenye serikali za mitaa,hiyo hela ya helikopta mngeipeleka kwenye ofisi zenu za wilaya na vijiji,marehemu wangwe alipiga kelele lkini wapi.

    ReplyDelete
  3. CHADEMA = CHAga DEveleopment MAnifesto.

    Hiki chama kina sera za chini kwa chini za kuendeleza wachaga.

    Marehemu Chacha Wangwe aliwahi kuliongelea suala hilo, wakamkolimba.

    Mbowe endelea kutesa na hiyo chopa, ila Ikulu sahau.

    ReplyDelete
  4. Hiyo Biashara ya Wachanga. Tanzania tupo smart kuliko Ujinga wa Chadema! Angalia mnyika na huyu wa juu wote toka Mlimani! Nyerere aliua mzizi wa Kikabila lakini walau tunajua hata nyinyi naganga Jnaa tu. Naona Mnyika ulitubia umati wa watoto wa shule ya msingi

    ReplyDelete
  5. Acheni mambo ya kipuuzi na kujaribu kuwapotosha wananchi kuhusu chama cha chadema. Hawa jamaa wameamua kuleta mabadiliko ndani ya nchi, hatuna wajibu wa kuwaunga mkono.

    Hakuna vyama vya makabila hapa Tanzania. Sorry kama comments zangu zitakuwa zimewaoffend

    ReplyDelete
  6. Kazi nzuri CHADEMA wenye wivu wajinyonge

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...