Pamoja na balaa hilo lakini watoto katika eneo hilo wakishangilia. Unaambiwa madereva katika mji wa Washington Dc wametangaziwa hali ya tahadhari na viwanja vya ndege mjini humo vimeahirisha safari zao kutokana na hali hiyo mbaya ya hewa na watu wengi wakiwa majumbani kushindwa kwenda makazini na pia kufanya shopping zao za mwisho za Krismas Jumamosi hii kuingia dosari kubwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kazini nilikwenda lakini cha moto nilikiona. Katika umbali wa maili kumi ambapo huwa natumia dakika kumi na tano leo nimetumia masaa matatu. Naomba Mungu siku moja barafu kama hii imwakige Dar hasa pale nyumbani Manzese.

    ReplyDelete
  2. Mniwie radhi wadau kwa kuingizia mada isiyohusiana, ila mimi naomba mnisaidie kuzipata hizi nyimbo za zamani: 1."mwinyi mgambo, nyerere komando." 2.Kiduku.
    artist na song name. Nitashukuru.

    ReplyDelete
  3. mdau unayetaka nyimbo nipe email yako ntakutumia

    ReplyDelete
  4. yaano huku UK nako mabarafu kibao, lakini watoto ndiyo raha yao, wako nje wanatengeneza smow man na mambo mengine, but am cumn bongo kesho for xmas. c u guys.

    mdau UK

    ReplyDelete
  5. poleni dc raha ya xmas snow lakini sio kiihivyo kama hiyo ni kero sie vancouver iliangua siku mbili yani palinoga sana palipendezaa ila huku mimvua ndo mwake basi imeyeyuka yote hamna kitu hope before xmas itaanguka kidogo lol sijui nyie wadau wa dc xmas mtailaje no nyama choma sijui mtachomea wapi vibarazani full snow ndani moshi yani poleni kwa hilo duh

    ReplyDelete
  6. Huu ni ushahidi kwamba global warming is a myth.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  7. Its crazy guys! Kila kitu kimefungwa hapa kwa ajili ya snow! Magari hayatoki kwenye parking lots na public transport imesimamishwa kwa muda. We cant go no where!

    ReplyDelete
  8. Achana na DC mambo ilikuwa Philadelphia 23.2" snow kali kuliko zote tangu 1996.Mji umefungwa hakuna kutoka wala kuingia.

    ReplyDelete
  9. JAMANI MRUDI NYUMBANI TUU JAMA!!! MBONA BONGO PATAMU SAANA! MMEKAA HUKO HAVITAWASHINDA HUKU. POLENI, LAKINI MNAJITAKIA KWAKWELI!

    ReplyDelete
  10. Email ya mdau anayetaka nyimbo ni hii: clandestine.operati@hotmail.com
    NITASHUKURU

    ReplyDelete
  11. US BLOGGER NA HIYO PhD YAKO NAONI UMTUPU, YOU KNOW THE MEANING OF GLOBAL WARMING? HAINA MAANA KAKUTAKUWA NA MVUA, AU BARAFU EBU KASOME VIZURI HIZO NOTICE ZAKO ZA PhD VIZURI ILI UJE NA COMMENT NZURI ZAIDI, KUMWAGIKA KWA BARUFU PIA NI MOJA YA GLOBAL WARMING EFFECTS IF YOU DONT KNOW!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...