Pamoja na balaa hilo lakini watoto katika eneo hilo wakishangilia. Unaambiwa madereva katika mji wa Washington Dc wametangaziwa hali ya tahadhari na viwanja vya ndege mjini humo vimeahirisha safari zao kutokana na hali hiyo mbaya ya hewa na watu wengi wakiwa majumbani kushindwa kwenda makazini na pia kufanya shopping zao za mwisho za Krismas Jumamosi hii kuingia dosari kubwa.
Home
Unlabelled
DC YAKUMBWA NA TUFANI KUBWA YA BARAFU TANGU 1932
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kazini nilikwenda lakini cha moto nilikiona. Katika umbali wa maili kumi ambapo huwa natumia dakika kumi na tano leo nimetumia masaa matatu. Naomba Mungu siku moja barafu kama hii imwakige Dar hasa pale nyumbani Manzese.
ReplyDeleteMniwie radhi wadau kwa kuingizia mada isiyohusiana, ila mimi naomba mnisaidie kuzipata hizi nyimbo za zamani: 1."mwinyi mgambo, nyerere komando." 2.Kiduku.
ReplyDeleteartist na song name. Nitashukuru.
mdau unayetaka nyimbo nipe email yako ntakutumia
ReplyDeleteyaano huku UK nako mabarafu kibao, lakini watoto ndiyo raha yao, wako nje wanatengeneza smow man na mambo mengine, but am cumn bongo kesho for xmas. c u guys.
ReplyDeletemdau UK
poleni dc raha ya xmas snow lakini sio kiihivyo kama hiyo ni kero sie vancouver iliangua siku mbili yani palinoga sana palipendezaa ila huku mimvua ndo mwake basi imeyeyuka yote hamna kitu hope before xmas itaanguka kidogo lol sijui nyie wadau wa dc xmas mtailaje no nyama choma sijui mtachomea wapi vibarazani full snow ndani moshi yani poleni kwa hilo duh
ReplyDeleteHuu ni ushahidi kwamba global warming is a myth.
ReplyDelete(US Blogger)
Its crazy guys! Kila kitu kimefungwa hapa kwa ajili ya snow! Magari hayatoki kwenye parking lots na public transport imesimamishwa kwa muda. We cant go no where!
ReplyDeleteAchana na DC mambo ilikuwa Philadelphia 23.2" snow kali kuliko zote tangu 1996.Mji umefungwa hakuna kutoka wala kuingia.
ReplyDeleteJAMANI MRUDI NYUMBANI TUU JAMA!!! MBONA BONGO PATAMU SAANA! MMEKAA HUKO HAVITAWASHINDA HUKU. POLENI, LAKINI MNAJITAKIA KWAKWELI!
ReplyDeleteEmail ya mdau anayetaka nyimbo ni hii: clandestine.operati@hotmail.com
ReplyDeleteNITASHUKURU
US BLOGGER NA HIYO PhD YAKO NAONI UMTUPU, YOU KNOW THE MEANING OF GLOBAL WARMING? HAINA MAANA KAKUTAKUWA NA MVUA, AU BARAFU EBU KASOME VIZURI HIZO NOTICE ZAKO ZA PhD VIZURI ILI UJE NA COMMENT NZURI ZAIDI, KUMWAGIKA KWA BARUFU PIA NI MOJA YA GLOBAL WARMING EFFECTS IF YOU DONT KNOW!!!
ReplyDelete