Miss East Africa Cynthia Akazuba(Rwanda) kati akiwa na mshindi wa pili Dalysha Doorga kutoka (Mauritius) na mshindi Victoria Martin(Tanzania) mshindi wa tatu, waliosimama nyuma ni Majaji ambao pia ni maafisa wa Miss East Africa.
Miss East Africa 2009 Cythia Akazuba(Rwanda) baada ya kutawazwa mshindi wa shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. duhuuu kadogoaangu hako kazuri eeh!!! hongera saani binti kaneza
    big up unaonekana akili zi nachaji hawa majaji umewaumbuaa kichizi kwa kujibu mswali na confidence.aloo nyiee waoshaa vinywa mkowapi

    wabeba maboxi wenzangu mkoo wapi au ndo mambo ya snow njee mme freezi ndani

    mdau msakaa chake

    ReplyDelete
  2. Msicheze na mabinti wa Kinyarwanda.Ni kiboko tena wametengezwa kunako....mpaka
    Mdau
    Mbarushimana

    ReplyDelete
  3. hivi ati mauritius iko afrika mashariki?

    mkulima

    ReplyDelete
  4. Kweli Cinthya ni AKAZUBA(Kwa kirundi kinyarwanda na kiha akazuba maana yake ni (Jua)kwa hiyo mwako wa jua unajulikana
    Wadau tuwaite majina watoto wetu mazuri ukimwita shida atakuwa shida tu.

    ReplyDelete
  5. Sasa mbona kavaa taji la 2008 au macho yangu hayaoni vizuri?

    ReplyDelete
  6. hivi huyu victoria si mchumba wake omari kigoda au?? thought she stoped modellining nyaruanda gals are HOT congrats binti

    ReplyDelete
  7. Ule ukweli tukubali jamani mabinti wa kinyarwanda usipime!Watoto wamekemilika kila idara na kunako kichwa zimo. Naumgana na mdau hapo juu mbona taji limeandikwa 2008?

    ReplyDelete
  8. 2008??????????????????????

    nielimishwe...

    ReplyDelete
  9. Huu ni ubabaishaji!!!!!!!
    Jamani acheni kutudanganya. Huyu Victoria Mrtin alishindanishwa na nani ili apate tikcet ya kuwakilisha Tanzania? Walimwokota njiani tu, wakamwomba shiriki.
    Huyu akazuba ni Miss Kigali lakini mchakato wa kumpata haukufuate mtoano. Hao kutoka nchi nyingine waliokotwa tu.
    Plase Rena Kallist, Pita Mwendapole, acha ubabaishaji. Miss east Africa inabidi iwe na Warembo walioshinda mataji kwenye nchi zao. sawa na Kagame Cup, inajumuisha timu mabingwa wa kila nchi, sio timu za mchangani!
    Koma kabisa kuja kutoza kiingilio laki wakati ni ujanja tu.
    Mdau mwenye hasira,
    Manzese.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...