Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera Kalunde band mpo juu..! Anzeni kutoka nje basi wabeba box wawajue maana mnatisha.

    Sare zenu nzuri sana pia..designer nani???

    ReplyDelete
  2. Kapiteni wa Goba ..... DEO vitu vyako vinatisha..na Njewete wa miaka 800 namsikia tu... anamtaka wapi huyo baby gal/boy anao Sui na Richie,,,,,,,
    God Bless kibao kimetulia sana...
    Mwakichui acha hizo...
    Hilo guitar utafikiri spanish guitar...
    Congrats guys...
    mdau USA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...