Kaimu Mhariri Mtendaji wa Tanzania Standard Media Newspapers Ltd, Bw. Mkumbwa Ally, akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo ambayo huchapisha magazeti ya serikali ya Daily News na HabariLeo wakati wa mnuso wa kusherehekea mwaka mpya ulioandaliwa Ijumaa usiku katika hoteli ya New Africa jijini Dar
wadau wa TSN wakisikiliza hotuba kwa makini
wadau wa TSN wakisikiliza hotuba kwa makini
Mtu mzima Deo Mushi (kulia) akichati na Mdau Furaha ambaye ni mwakilishi wa biashara wa TSN kanda ya A-TAun
wadau wa TSN wakijichana
Shafii Mpenda (kati) na makamanda wenzie
wawakilishi wa TSN toka kanda zote nchini wakitambulishwa
gwiji la habari aa mahakamani Faustine Kapama (pili kulia) akiwa na mhariri wa michezo Nas Kiliyinga (pili shoto) na wapiganaji wenzao
wataalamu wa teknohama wa TSN wakila raha
masembe tambwe anajinyoosha baada ya msosi wa nguvu na wenzie
WACHOYO MARA NYINGI UTAWAJUAGA, SAANI ZAO ZIMEJAAGA SANA, AU KUNA VISAANI VILIVYOKISHWA KANDO YAO MBILI AU TATU. ALAFU MUREMBO IKUNDA ERIKI MBONA SIMUONI,,PARTY YA KIFISADI ITAKUWA, KAMA KWELI HAKUWEPO. HILO MEZA LA WAANDAMIZI NI LA WANAMUZUMBE, KWA MAANA HAO NI WATU MAKINI KAMA ANKO NANIII AMAYE NDIYE GRAJUETI WA MUZUMBE NAMBA MOJA... HONGERENI WANA MUZUMBE NA TSN
ReplyDeleteDuuh ze fulanaz naona imetia timu kwa mara ya kwanza 2010.
ReplyDeleteFulanaz kama kawa ninaona imetinga tena kwenye minuso mikubwa! khaaaa!
ReplyDeleteNitaongea na Jr. lazima tuitoke hiyo fulanaz na tuipeleke kwenye jumba la makumbusho!
MICHUZI NA WADAU WENGINE MNASHEREKEA MWAKA MPYA UPI HUO? MBONA ULISHAKWISHA SIKU NYINGI HADI LEO?
ReplyDeleteTAIFA LINAWATEGEMEA HONGERA KWA UWEZO WENU WA KUWAHASBARISHA WNANCHI BILA KUJALI HABARI M WIBA KWA SIRIKALI
ReplyDeleteHakika ze flanazz hakosagi kwenye minuso mikubwa kama hii. Lakini ankal...flanazz lazima nijitose siku moja niibe...imepauka sana kha!!
ReplyDeletehaya mengine sasa!!!
ReplyDeletenilipoondoka bongo miaka 11 tu iliyopita, hafla kama hizi wenzetu kinadada na kinamama walikuwa wakihudhuria wakiwa na nguo zao kamili, hasa wale kutoka mashirika makubwa kama TSN.
sasa hivi kulikoni? Mbona dada na mama zetu wengi wako nusu uchi? au ndio twaitangazia dunia kuwa na sisi wabongo tushaendelea?
halafu ati huko nyumbani kuna mashirika ya kutetea kinadada wanaodhalilishwa kijinsia!!
hivi kina dada zetu hamwoni hii kujidai kwenda na wakati inakudhalilisheni?
hamfahamu kuwa hilo ni moja ya majanga ya Taifa?
kwa mfano nyie TSN, si nyie mnaotupa ripoti kila siku kuwa takwimu za gonjwa la ukimwi ni za kutisha sana huko nyumbani?
nani asiyeamini kuwa kwenda uchi ni moja ya kichocheo cha uasherati?
ni wapi duniani ambako wanamama wanajishaua kwenda utupu kama hivyo ambako uasherati haujaenea?
hapa Ukerewe, kila kona ngono zembe imepiga hodi! ndani ya public toilets, ndani ya kumbi za starehe, mashuleni, wakati mwengine mpaka ndani ya mabasi ya double decker yameshawahi kutokea. ngono nje nje!
amerka, cuba, brazili na ulaya ingine mambo ni hivo hivo, ngono imetawala kupita kiasi, miongoni mwa sababu zikiwa kinadada kujirahisisha mno na kuvaa mavazi ya kutamanisha!
picha za mheshimiwa mkuu wa wilaya zimejaa kinamama sehemu kubwa ya matiti (ashakum si matusi) yakiwa nje!
kinadada chonde, chonde, achaneni na tamaa za kimwili, mnaendelea kusambaza maradhi na kukiharibu kizazi kijacho.
Michuzi nawe uwe ukikemea basi!
Mndengereko Ukerewe
We unaejifanya Mndengereko huna lolote huna cha kuandika nyamaza sasa aliyevaa uchi nani hapo unapenda kuchangia vitu mbofumbofu hebu tafuta sehemu upumzike hapo maradhi yako wapi acha hizo sijakupenda watu wapo kwenye sherehe wache washereheke wewe oooh hivi vile vikapanda vikashuka toka zako huko unajifanya ukerewe ukerewe ndio nini tumeona usariva ije kuwa ukewere nenda angaza ukaombe kazi ya kuhamasisha
ReplyDeleteweweeee..annon mkware unaetsema eti nyuchi za kinadada tamaa zimekujaa tu apo adi kopeni,,,ata wakivaa baibui ndo magonjwa yatakimbia?ovyo sana wewe hujui behavioral change eee!!
ReplyDeleteebu tutolee ushashi wako apa
kwa raha zao kinadada na fulanazz ya ankal niliimis saaaaaaaaaaaaana
Duuh , naona wadau mwala raha tu ..mi nawatakia kila kheri ndugu zangu na changamoto hizi za soko la ushindani...tunawategemea muendeleze kupeperusha bendera ya TSN ili basi wananchi tupate habari mbalimbali na matekelezo ya sera na mikakati ya serikali yetu tukufu....
ReplyDeleteIla Kolinzeee na MSUYA mjue hata mkishinda magoli mangapi mwaka huu ni wetu tu CHELSEA FC..mzee wa kanisa analijua hili..
Ni mimi MALIAGA aka kiroba wa Bagamoyo karibu na uncle J.K..
Picha ya pili toka juu kuna mdau kafanana sana na mshikaji wangu toka Lake secondary A-level(MIKIDADI KAGAMBO)!kama ni wewe safi sana mzee naona umetulia....
ReplyDeletetuwasiliane basi
Dr. Balilemwa