Marehemu Mwl. Ernestina Kahabuka

DAKIKA, SAA, SIKU, MIEZI NA SASA MWAKA MMOJA KAMILI UMETIMIA TOKA ULIPOTUAGA TAREHE 15-APRIL-2009 NA KUZIKWA NYUMBANI KIJIJI CHA BUHANGARUTI, MUGANA PARISH, BUKOBA.

UNAKUMBUKWA DAIMA NA MME WAKO DR.F.C. KAHABUKA, WANAO-ANNY, OLIVA, MARY, PRIM, PELAGIA, WAKWE ZAKO, WAJUKUU ZAKO WOTE, MAJIRANI, NDUGU, JAMAA NA WOTE TUNAZIDI KUKUOMBEA UPUMZIKE MAHALI PEMA HUKO PEPONI, AMINA.

TUNAKUPENDA SANA LAKINI MUNGU ANAKUPENDA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Oliva KahabukaApril 14, 2010

    Kutakuwa na misa ya kumwombea Marehemu Mwl Ernestina Kahabuka saa 12.30 asubuhi tarehe 15-April-2010 katika Kanisa Katoliki la Manzese. Ndugu na jamaa wote mnakaribishwa kushiriki

    ReplyDelete
  2. mzee wa bunjuApril 14, 2010

    TAARIFA YA ZIADA. KUTAKUWA NA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU, MAMA YETU ERNESTINA KAHABUKA, ITAKAYOFANYIKA KESHO TAREHE 15/04/2010 SAA 12.30 ASUBUHI KATIKA KANISA LA ROMAN CATHOLIC MANZESE NDUGU NA JAMAA WOTE MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI

    ASANTE

    OLIVA KAHABUKA

    ReplyDelete
  3. George KahabukaApril 14, 2010

    TUNASHUKURU KWA TAARIFA NA TUTAENDELEA KUMUOMBEA.

    GEORGE KAHABUKA

    ReplyDelete
  4. RIP mwl Helena. Ulikuwa mwl wangu darasa la kwanza mwaka 1982 pale Mugana A. Jamani miaka inaenda so as people. Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu na azidi kuwabariki familia yake kwa kumfanyia yote haya. Ndaba omukyalo nkalugayo niila, nimwijuka munoo ma Helena jamani.

    G.
    Mwala w'omugenzi mwl Muikila.

    ReplyDelete
  5. Mwenyezi Mungu ambariki mama yetu mpendwa Ernestina.Tutazidi kumwombea.
    Amina
    Primus Kashonda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...