Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Samuel Sitta, akifungua rasmi kongamano la mwaka la wadau wa kuzuia na kupambana na Rushwa lililoandaliwa na Taasisi ya Kuzui na Kupambana na Rushwa nchini (PCCB). Kongamano hilo limefanyika leo katika Ukumbi wa Blue pearl, Ubungo Plaza jijini Dar leo.
Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta akihutubia wajumbe wa kongamano hilo leo
Mgeni rasmi katika kongamano la wadau wa Kuzui na Kupambana na Rushwa nchini , Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, ( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Kongamano hilo limefanyika leo katika Ukumbi wa Blue pearl, Ubungo Plaza jijini Dar leo.
Picha na mdau Owen Mwandumbya wa Bunge




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...