Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Rungwe Ndg. Noel Mahyenga akimkaribisha Prof.Mark Mwandosya alipowasili katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe kurudisha Form za kugombea Ubunge wa Jimbo la Rungwe Mashariki
Prof Mark Mwandosya na waliomsindikiza wakimsikiliza Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Rungwe Ndg. Noel Mahyenga Ofisi kwake mara baada ya kufika hapo kurejesha form za kugombea Ubunge wa Jimbo la Rungwe Mashariki.
Anaewania Ubunge kupitia CCM Jimbo la Rungwe Mashariki Prof. Mark Mwandosya akiangalia mda mara baada ya kutaniwa na mwenzie anaewania jimbo la Rungwe Magaharibi Prof. Mwakyusa kuwa mda wa kurudisha form umekwisha katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Rungwe alipokuwa anakwenda kurudisha form ya kuwania Kugombea Ubunge wa Jimbo hilo
Muwania Ubunge kupitia CCM Jimbo la Rungwe Mashariki Prof. Mark Mwandosya akiwa ameongozana na mke wake na baadhi ya wana CCM kuelekea Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Rungwe kurudisha form ya kuwania Kugombea Ubunge wa Jimbo hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. PhatlorenzoAugust 19, 2010

    Mbona Ofisi ya mheshimiwa msimamizi wa Uchaguzi ina kalenda nyingi namna hiyo au nyingine ni urembo nini? Kwa haraka nimehesabu kalenda 7 picha ya 2.

    ReplyDelete
  2. Wishing best of luck to the two Proffesors in up coming Rungwe campaign. We would to see peaceful election in Rungwe. Kasesela

    ReplyDelete
  3. RAIS WA 2015. NDO MAANA KUNDI LA MAFISADI LIMEANZA KUMLETEA ZENGWE......

    ReplyDelete
  4. hUNA KAZI NDIO MAANA UMEHESABU KALENDA

    ReplyDelete
  5. hongera nyingi kwa wana Mbeya,msimamo mliouonyesha umethibitisha umoja ni nguvu,sio kuchezewa chezewa na pesa chafu za mafisadi,pesa mmekula kisha mkawapiga chini vibaraka wao!!!!
    hureeee mbeya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...