KATIKA KUSHEREHEKEA SIKUKUU ZA NANENANE MKOANI ARUSHA, KAMPUNI YA UJUMBE INC. YA ARUSHA ILIANDAA MASHINDANO YA MBIO ZIJULIKANAZO KAMA SAFARI MARATHON ZA KILOMETER 21 NA KILOMETER 5. MBIO ZA KILOMETER 5 ZILIDHAMINIWA NA KAMPUNI YA SIMU ZA MIKONONI YA VODACOM WAKATI ZA KILOMETER 21 ZILIDHAMINIWA NA KAMPUNI YA BIA (TBL) NA KILOMETER 21 KWA WALEMAVU ZILIDHAMINIWA NA KAMPUNI YA BANANA INVESTMENT YA MJINI ARUSHA.WADHAMINI WENGINE WALIKUWA NI KAMPUNI YA VINYWAJI BARIDI (COCACOLA BONITE).

MENEJA MASOKO KANDA KASKAZINI HENRY TZAMBURAKIS AKIKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WA KILOMETER 5 WANAUME.
WASHIRIKI WA KILOMETER 5 ZILIZODHAMINIWA NA VODACOM WAKIJIANDAA KUANZA MBIO KATIKA ROUND ABOUT YA MNARA WA MWENGE MJINI ARUSHA.
MSHIRIKI WA KILOMETER 5 KUTOKA 21 ZILIZODHAMINIWA NA TBL AKIMALIZIA MBIO HIZO KATIKA VIWANJA VYA SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA.
MKURUGENZI WA VODACOM KANDA YA KASKAZINI NGUVU KAMANDO AKIMALIZIA MBIO ZA KILOMETER 5 KATIKA VIWANJA VYA SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA.
MSHINDI WA KWANZA WA KILOMETER 5 KWA WANAUME AKIMALIZA MBIO HIZO.
MSHINDI WA KWANZA WA KILOMETER 21 KWA WANAWAKE RESTITUTA JOSEPH AKIMALIZA MBIO HIZO KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...