RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO AMETANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR. ORODHA KAMILI INAKUJA PUNDE, NI YA SURA MPYA KIASI NA ZA ZAMANI. TUVUTE SUBIRA KIDOOOGO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Faster mzee, nimeinyaka wizara yenye magufuli na mwakyembe lol...

    ReplyDelete
  2. oya ankal vp..... muda wote unasubiri nini kupost hilo baraza? presida mbona amelitangaza muda mrefu sn?!!

    ReplyDelete
  3. Kaka Baraza liko wapi?tumesubiri tumechoka sasa

    ReplyDelete
  4. ankal ni muda, huo muda "TUVUTE SUBIRA KIDOOOGO". mbona imekuwa subira inaanza kupata magutu.

    ReplyDelete
  5. List ipo humu michuzi. .http://mawasilianoikulu.blogspot.com/ . . . .

    OFISI/WIZARA

    WAZIRI


    NAIBU WAZIRI

    1.

    Ofisi ya Rais




    1. WN – OR – Utawala Bora
    Mathias Chikawe

    2. WN – OR – Mahusiano na Uratibu
    Stephen Wassira



    2.

    Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma




    Hawa Ghasia


    3.

    Ofisi ya Makamu wa Rais



    1. Muungano
    Samia Suluhu

    2. Mazingira
    Dr. Terezya Luoga Hovisa



    4.

    Ofisi ya Waziri Mkuu



    1. Sera, Uratibu na Bunge
    William Lukuvi

    2. Uwekezaji na Uwezeshaji
    Dr. Mary Nagu



    5.

    Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)



    George Huruma Mkuchika

    1.Aggrey Mwanri



    2. Kassim Majaliwa


    6.

    Wizara ya Fedha



    Mustapha Mkulo

    1. Gregory Teu


    2. Pereira Ame Silima

    7.

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi



    Shamsi Vuai Nahodha

    1. Balozi Khamis Suedi Kagasheki

    8.

    Wizara ya Katiba na Sheria



    Celina Kombani





    9.

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa




    Bernard K. Membe

    1. Mahadhi Juma Mahadhi

    10.

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa



    Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi


    11.

    Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi




    Dr. Mathayo David Mathayo

    1. Benedict Ole Nangoro

    12.

    Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia



    Prof. Makame Mnyaa Mbarawa

    1. Charles Kitwanga

    13.

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi



    Prof. Anna Tibaijuka

    Goodluck Ole Madeye

    14.

    Wizara ya Maliasili na Utalii





    Ezekiel Maige


    15.

    Wizara ya Nishati na Madini





    William Mganga Ngeleja

    1. Adam Kigoma Malima

    16.

    Wizara ya Ujenzi





    Dr. John Pombe Magufuli

    1. Dr. Harrison Mwakyembe




    17.

    Wizara ya Uchukuzi





    Omari Nundu

    1. Athumani Mfutakamba

    18.

    Wizara ya Viwanda na Biashara





    Dr. Cyril Chami

    Lazaro Nyalandu

    19.

    Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi




    Dr. Shukuru Kawambwa

    1. Philipo Mulugo

    20.

    Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii





    Dr. Haji Hussein Mpanda

    1. Dr. Lucy Nkya

    21.

    Wizara ya Kazi na Ajira





    Gaudensia Kabaka

    Makongoro Mahanga

    22.

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto




    Sophia Simba

    Umi Ali Mwalimu

    23.

    Wizara ya Habari, Vijana na Michezo





    Emmanuel John Nchimbi

    1. Dr. Fenella Mukangara

    24.

    Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki



    Samuel John Sitta






    1. Dr. Abdallah Juma Abdallah

    25.

    Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika





    Prof. Jumanne Maghembe

    1. Christopher Chiza

    26.

    Wizara ya Maji





    Prof. Mark James Mwandosya

    Eng. Gerson Lwinge

    ReplyDelete
  6. MBONA MUDA UNAKWENDA JAMANI HATPATI ORODHA HIYO TUNAIOMBA TAFADHALI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...