Jumuiya ya watanzania Bergen, Norway, imeandaa mnuso wa kusheherekea siku ya uhuru wetu utakaofanyika tarehe 10.12.2010. Tunawakaribisha Watanzania wenzetu wote waishio hapa norway na nje ya norway.
tunakaribisha maoni kwa mail yetu ya chama ambayo ni WATANZANIA.BERGEN@GMAIL.COM
Pia tuna page yetu kwenye Facebook inayotambulika kwa jina la
WATANZANIA BERGEN
Mgeni rasmi katika sherehe yetu ni mwakilishi
wa balozi kutoka ubalozi wa Tanzania nchni Sweden.
KARIBUNI SANA SANA!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mmh watanzania ni watanzania tu hata wakiwa nje,jamani ajaribu mtu kutuma any question au comments kwahiyo e-mail adress iliyotolewa hapo. haifanyi kazi.

    ReplyDelete
  2. Kuna watu wameumbwa kuwa waharibifu tu, hata ukifanya kipi kizuri ataharibu tu kiwe kinamsaidia yeye au mwingine yeyote. E-mail adress gani haifanyi kazi wakati kupitia Michuzi blog tumepata wengi watakao hudhuria walioko nje ya Bergen, na tumewajibu kwa mail.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...